suti

Suti is a town, with a police station, not identified in 2011 census as a separate place, in the Suti II CD block in the Jangipur subdivision of Murshidabad district in the state of West Bengal, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Zile suti za kina Feisali ni za kuendeshea bajaji usiku

    Cheki midude Namuunga mkono ndugu mwandishi
  2. Suti za wachambuzi wa Azam sports hazina viwango. Wajifunze kwa wenzao UK

    Ali Mayai na wenzanke wanavaa suti zimewabana na zinaonyesha kushonwa na mafundi ambao hawana viwango kabisa. Azam Tv wanapata pesa nyingi kupitia matangazo ya soka. Kwa nini wasiwanunukie wachambuzi suti za ukweli?
  3. Viongozi mliohudhuria mkutano wa UN rudini nyumbani na mikakati, msirudi na suti

    Kuona ni kuamini, think globally and act locally. Tunaomba viongozi wetu wa bara la Afrika tuliowasafirisha kwenda New York kwa kodi zetu kuhudhuria mkutano mkuu wa Baraza la Dunia, UN mrudi nyumbani na mipango mkakati ya kuboresha maisha ya watu wenu. Sina shaka kila kiongozi aliyekwenda New...
  4. Hapa ni kwa Fundi Muwa Tandika ziliposhonwa suti za wachezaji Yanga

    Fundi Cherehani akiendelea kuchakata suti za wachezaji wa Yanga. Hapa ni kwa fundi Muwa pale Tandika! Kisha wakabandika nembo kuonesha ni suti za Italy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  5. INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

    Suti mseleleko ni wauzaji wa suti za kike, kiume na suti za watoto kwa wateja wa Dar-es - salaam na mikoani. Bei zetu ziko poa kabisa zinaendana na gharama ya fedha yako. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana Nasi kupitia namba; WhatsApp number: 0712878245 Suti za kiume(mikoani)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…