suluhu

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania MBEYA WAKO NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN

    Kasumulu Mbeya Hiki ni Kituo cha Pamoja cha Forodha katika mpaka wa Tanzania na Malawi. Ujenzi wake ni utekelezaji wa Sera ya Diplomasia ya Uchumi ambapo kitakuza mwingiliano wa watu na biashara kati ya nchi zetu mbili kudumisha Ushirikiano. #Kurayakwanzakwasamia#haijapatakutokea
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yule Mgombea anayependwa zaidi Duniani kwa sasa Dkt. Samia Suluuhu Hassan Kutikisa Songwe

    https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan unastahili kongole kwa barabara za Mitaa na taa za barabarani

    Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa. Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Hizi ndio sababu kwanini watu wa Morogoro haina sababu za kumnyima kura Samia Suluhu

    Muda mfupi baada ya Rais Samia Suluhu kuingia madarakani 2021, alifanya ziara ndogo mkoani Morogoro, na akaongea na watu pale Msamvu tarehe 7-04-2021. Pale Rais Samia Suluhu aliwatoa watu wa Morogoro hofu na kuwaambia ya kwamba, mambo mengi mazuri yanakuja kwenye mkoa huo, ajira, mikopo...
  5. JamiiForums Tanzania Nani ni Meneja wa kampeni ya Samia Suluhu Hassan

    Ni nani,bado sijamfahamu
  6. JamiiForums Tanzania Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

    Kuna post ya mtu mmoja hapa JF jina namhifadhi anawataka Watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavyotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake. Huyu mtu alienda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikuwa wapuuzi kisa hawakupambana kuwa kama Samia. Namuuliza...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan arejesha fomu

    Tumekamilisha taratibu za uteuzi, sasa tupo tayari kwa kampeni.Safari inaanzia Kawe, Dar es Saalam kesho. Usisubiri kuhadithiwa. #OktobaTunatikiSamia
  8. P

    JamiiForums Tanzania Dkt.samia Samia Suluhu, Tanzania Nishati safi vijiji

    Mafanikio Makubwa ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika mageuzi bora ya nishati safi ya kupikia kwa wananchi kuanzia mwaka 2021 hadi 2025: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita (2021-2025) katika Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia Chini ya Rais Dr Samia suluhu...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanaenzi Hassan Suluhu akiomba ridhaa mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu UVCCM

    Mwanaenzi Hassan Suluhu akiomba kura kwa ajili ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM. Ameomba kutuwasilisha bungeni ni sahihi?😂
  10. JamiiForums Tanzania Huyu Mwanaezi Hassan Suluhu ni nani?

    Huyu mwanadada ni nani? Ana uhusiano gani na Rais Samia?
  11. JamiiForums Tanzania Je, Wadau wa AFCON na CHAN mnajua kama Mama katoa TZS298bn kwaajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa “Samia Suluhu Arusha stadium"?

    Rais Samia ametoa TZS298bn kwaajili ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu “ Samia Suluhu Arusha stadium” sasa Mkoa wa Arusha kwenye ramani za AFCON rasmi. Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia, mkoa wa Arusha umefanikiwa kupata uwanja wa kisasa wa mpira ambao unajengwa katika...
  12. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais ndiye the best option kwa wapinzani

    Hii ni kwa sababu: 1. ataweza kufanya mabadiliko yanayopaswa kwa sababu ni ngwe yake ya mwisho. Mwingine yeyote atasita kufanya mabadiliko yeyote kwa sababu atataka na yeye amalize ngwe mbili. 2. Katiba Mpya ni kipolo chake ambacho angependa kukimalisha kabla haya ondoka. 3. Ngwe ya mwisho ni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

    https://youtu.be/HHq7hqvxQSY?si=dLD-aa4aBpswt59T
  14. JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  15. JamiiForums Tanzania Safi sana mama yangu samia suluhu hassani kwa hili

    Naanza kwa kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania , mama yetu Samia Suhulu Hassan katika raisi aliefanya mambo makubwa pia jina la Samia suluhu hassani haliwezi kukosekana. Leo ukifika kishiri hkuna vumbi tena ni mwendo wa lami ni kuteleza tu mwaaaaaah hakuna kupauka na wasukuma...
  16. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu anafaa kuwa mgombea urais

    Jambo moja sielewi, kwamba watu wengine wanataka mchakato wa kumpata mgombea urais CCM urudiwe ili Samia Suluhu athibitishwe au hata abadilishwe. Sioni sababu,kwa sababu Rais Samia amefanya kazi nzuri,na akichaguliwa tena ataendelea kama alivyofanya mwanzo. Anajenga flyover,anajenga daraja...
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga tuhakikishe mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan anashinda kwa Kishindo ili Yanga izidi kuwa tishio

    Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu yenu. #NOREFORMS_NO_ELECTION Asante.
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan ndiye mgombea wa Urais Oktoba 2025

    Na kamwe usidanganyike au kupotoshwa na yeyote kuhusu jambo hili muhimu sana la kitaifa my friends, ladies and gentlemen, Tayari imekwisha amuliwa na kuthibitishwa na mkutano mkuu maalumu wa ccm Taifa, mkutano mkuu ambao ni wa juu zaidi wa maamuzi yote ya CCM ukilinganisha na mikutano au vikao...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

    waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu. Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula...
  20. JamiiForums Tanzania Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana Kwaamaana October tunataka kutic Ni wapi alipo rais wetu Asanten sana LONDON BOY
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…