Habari wakuu,
Leo nataka tuzungumze kidogo kuhusu hili suala ambalo limekuwa kama mjadala wa kitaifa — je, mwanaume anatakiwa kujua kupika, au kupika ni kazi ya wanawake pekee?
Kuna hawa wanaume ambao hawajui kabisa kupika. Sijui kwa kweli wanaishije! Ila kwa uzoefu wangu, wengi wao ni wale...