stergomena tax

Stergomena Lawrence Tax (born 6 July 1960) is a Tanzanian civil servant who serves as the incumbent Executive Secretary of the Southern African Development Community (SADC).

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Twende taratibu: JWTZ wasije wakanogewa na “Matamko” na kuwashangaza akina Msigwa na chawa wengine. Muda mwalimu mzuri

    Haya matamko ya JWTZ mfululizo hivi mbona hayajawahi kuwepo kabla; yanakuwa mengi kupitiliza and so it leads someone to wonder, kwamba hali ya nchi ni tete kiasi gani hadi kuwalazimu JWTZ kutoka hadharani kila siku “kutufokea”? Je, kuna Udhaifu au Ombwe la Uongozi katika Serikali na vyombo...
  2. GE2025 Waziri Stergomena Tax: Maafisa Usafirishaji nyie ni watu muhimu sana. Mna mchango mkubwa katika kutunza amani

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa JKT, Mhe. Dkt. Stergomeana Tax, amewataka maafisa usafirishaji kwa njia ya pikipiki (bodaboda), kote nchini kuwa mabalozi wazuri wa kulinda amani ya nchi, hususani katika kipindi hichi cha kuelekea uchaguzi mkuu wawapo katika shughuli zao kwani...
  3. GE2025 Mlezi wa Kata ya Kandawe, Dkt Stergomena Tax azindua Kampeni za CCM Kata ya Kandawe

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambaye pia ni Mlezi wa Kata ya Kandawe Wilaya ya Magu, tarehe 17 Septemba 2025, amezindua Kampeni za Uchaguzi katika Kata hiyo ambapo amemnadi na kumkabidhi Ilani ya Chama cha Mapinduzi Mgombea Udiwani wa Kata ya Kandawe ndugu Lucas Bomoa na viongozi wa...
  4. Dkt. Stergomena Tax akabidhi Ukumbi wa CCM Magu kwa uongozi wa Chama Wilaya baada ya ukarabati

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 15 Agosti 2025, ameukabidhi Uongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wilayani Magu Mkoa Mwanza, Ukumbi wa CCM baada ya kukamilisha maboresho na ukarabati mkubwa. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika...
  5. Dr Stergomena Tax ashauriwe kuchukua Fomu Jimbo la Kawe

    Jimbo lipo wazi na hapo jimboni ndio kambi na hospitali kubwa ya jeshi ulipo hivyo uhakika
  6. Stergomena Tax: Waliopigana vita ya Kagera kuanza kulipwa pensheni kuanzia Julai 2026

    waziri wa ulinzi Stergomena Tax amesema kuanzia mwezi julai wale waliopigana vita vya kagera wataanza kulipwa pensheni ameyasema hayo akiwa bungeni leo June 23 katika bunge la 12 mkutano wa 19 na kikao cha 51. “Ninayo furaha kulitaarifu bunge lako tukufu kuwa serikali ya awamu ya sita ambayo ni...
  7. PreGE2025 Dkt Stergomena Tax ashiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Magu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), jana Juni 18, 2025 ameshiriki Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Magu Mkoani Mwanza. Kikao hicho cha kawaida ngazi ya Chama kiliongozwa na Komredi Jamal Abdul Babu (Mnec Wilaya Magu)...
  8. Mtatukuta kule una maana gani Dr stergomena tax.

    Hakuna mbunge wala waziri wa CCm ambaye hukasikia yupo na wananchi.wao ni kejeli na majigambo kama kikundi cha wenye kula keki ya taifa. Huyu naye anatumia VPN kupost alichokisema mtandao X
  9. PreGE2025 Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena Tax: Walitaka kujipenyeza nchini kuleta vurugu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt. Stergomena Tax amesema kuwa kumekuwa na ushirikiano mzuri wa kidiplomasia ya kiulinzi kati ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na majeshi ya nchi nyingine. Dkt. Stergomena ameyasema hayo leo, Mei 22, 2025, jijini Dodoma wakati...
  10. Dkt. Stergomena Tax: JWTZ hupokea amri toka kwa Amri Jeshi Mkuu na si vinginevyo

    “JWTZ hupokea amri toka kwa Amri Jeshi Mkuu na si vinginevyo. JWTZ ni Chombo mahususi kwa shughuli mahususi, tuendelee kuliamini, kulipa uhuru na kuliwezesha kutekeleza majukumu yake bila kuingiliwa,” amesema Dkt Stergomena Lawrence Tax, Waziri wa Ulinzi na JKT, wakati akiwasilisha makadirio ya...
  11. LGE2024 Dkt. Stergomena Tax: Msiridhike na shamrashamra za Kampeni na mafuriko ya Mikutano, kapigeni kura

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 25 Novemba 2024, ameshiriki Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya Magu, kwa kuwanadi na kuwaombea kura Wagombea wa nafasi za Wenyeviti wa Vitongoji, Mitaa, pamoja na...
  12. Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

    Nyuki wa Mama mpo? Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa...
  13. Waziri Stergomena Tax msibani kumfariji mbunge Boniventura Kiswaga kufuatia kifo cha Mjukuu wake

    WAZIRI STERGOMENA TAX MSIBANI KUMFARIJI MBUNGE BONIVENTURA KISWAGA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 1, Julai 2024 ameungana na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Magu...
  14. Waziri Dkt. Stergomena Tax aungana na Wajumbe kushiriki Kikao cha Kamati ya Siasa wilayani Magu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), leo Juni 29, 2024 ameungana na Wajumbe wengine kushiriki katika Kikao cha Kamati ya Siasa Wilaya Magu, jijini Mwanza. Kikao hicho kimefanyika Ofisi za CCM, Magu kikiongozwa na Mwenyekiti wake, Komredi Enosy Ndobheji...
  15. Waziri Dkt. Stergomena Tax: Maveterani waliopigana vita ya kagera wameshalipwa, hakuna anayedai

    Akizungumza Bungeni, leo Juni 13, 2024, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesema Wanajeshi wastaafu walioshiriki katika Vita ya Kagera wote wameshalipwa na hakuna anayedai. Pia Soma: ~ Miaka 45 tangu Majeshi ya Tanzania yashinde vita Uganda dhidi ya...
  16. Waziri wa Ulinzi akiwa kwenye ziara nchini Ethiopia

    WAZIRI WA ULINZI ZIARANI NCHINI ETHIOPIA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 04 Juni, 2024 amefanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Ethiopia Mheshimiwa Injinia Ayisa Mohamed Mussa katika Ofisi za Wizara ya Ulinzi nchini Ethiopia...
  17. Waziri Stergomena Tax ashiriki Ibada ya Pasaka Kigango cha Shishani Wilayani Magu

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax, Machi 31, 2024 ameungana pamoja na Waumini wa Dini ya Kikristu katika ibada ya kusherekea Sikukuu ya Pasaka katika Kigango cha Shishani, kilichopo Parokia ya Mtakatifu Kizito Kabila, Magu, chini ya Jimbo Kuu la Mwanza...
  18. B

    Indonesia yadhamiria kununua hisa zote kitalu cha gesi Mnazi Bay Mtwara

    Pertamina Seeks Majority Share in Tanzania’s Mnazi Bay Jayany Nada Shofa June 22, 2023 | 3:43 pm Foreign Affairs Minister Retno Marsudi shakes hands with her Tanzanian counterpart Stergomena Tax in Jakarta on June 22, 2023. (Photo Courtesy of the Foreign Affairs Ministry) Indonesia is seeking...
  19. Tanzania yazindua rasmi Ubalozi wake Jijini Algiers, Algeria

    Serikali ya Tanzania imezindua rasmi ubalozi wake jijini Algiers, Algeria. Ufunguzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax na kuhudhuriwa na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Nje na Diaspora wa Algeria, Ahmed Attaf, Balozi wa kwanza wa...
  20. Waziri Stergomena Tax awaaga mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ujerumani na Norway

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana na kuwaaga mabalozi watatu waliokuwa wanaziwakilisha nchi zao hapa nchini baada ya kumaliza muda wao wa uwakilishi. Dkt. Tax amewaaga mabalozi hao katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…