stephen wassira

Stephen Masato Wasira (born 1 July 1945) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Bunda constituency since 2005. He was the Minister of State in the President's Office for Social Relations and Coordination since 2010. also He is a Vice chairman in Chama cha Mapinduzi since 18 january 2025 after Abrahaman Kinana

View More On Wikipedia.org
  1. Sitakuumiza Kamwe

    PostGE2025 Yuko Wapi Stephen Wassira - Think Tank na Strategist Mkuu wa CCM?

    Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi. Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na...
  2. McLaren

    GE2025 Wasira: Mchagueni Samia. Yuko tayari kutumia juhudi binafsi kuleta maendeleo

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira miongoni mwa sababu za Watanzania kymchagua Mgombea urai wa CCM Dk. Samia Suluhu Hassan ni pamoja na uwezo wake kutumia juhudi binafsi kuleta maendeleo ya Watanzania. Aidha, kupitia CCM chini ya Dk. Samia, Watanzania...
  3. Just Pray

    PreGE2025 Stephen Wassira: Wanaosema hatujafanya lolote wanaota ndoto za mchana, wajiepushe na laana

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara Stephen Wasira ameeleza kuwa Chama cha Mapinduzi kimefanya maendeleo makubwa katika sekta nyingi nchini ikiwemo sekta ya elimu licha ya kuwa watu wengine wamekuwa wakiyabeza. “Jana niliwaambia wako wanaosema hatujafanya lolote nikawaambia nyie...
  4. W

    PreGE2025 Wassira: Ofisi za CCM zitumike kutatua kero za wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi. Wasira ameyasema hayo leo Jana Machi 26, 2025 alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi za CCM katika Kata ya Chibe...
  5. W

    PreGE2025 Wassira awaunga mkono vijana kugombea ubunge na udiwani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametoa rai kwa vijana wenye sifa kujitokeza kugombea udiwani na ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Wasira ametoa rai hiyo leo Machi 16,2025, alipokuwa akizungumza na Wana CCM Wilaya ya...
  6. W

    PreGE2025 Wassira asimikwa uchifu Mbeya

    Makamu Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi Bara Ndg.Stephen wasira amefika tayari Mkoa Wa Mbeya tayari kwa ziara ya Sikuu Nne ambapo atatembelea wilaya zote za Mkoa Wa Mbeya kwa Ajili ya Kusikiliza kero za Wananchi pamoja na kufanya vikao mbalimbal na Viongozi wa CCm Mkoa WA MBEYA Baada ya kufika...
  7. W

    PreGE2025 Wassira: Hakuna kupita bila kupingwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira Machi 16, 2025, akizungumza na wanachama wa CCM katika Wilaya ya Ileje, amesisitiza kuwa chama hicho kimeweka utaratibu wa wazi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Katika hotuba yake, Wasira alifafanua kuwa hakutakuwa na...
  8. Mindyou

    PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira: Kazi ya CCM ni kuboresha maisha ya watu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania BaraStephen Wasira, amewahakikishia wananchi wa mji wa Tunduma kuwa Serikali itawatatulia kero ya maji inayowasumbua kwa muda mrefu. Amesema kuanzia Machi 20, 2025 mawaziri wawili akiwemo Waziri wa fedha, Dk Mwigulu Nchemba na Waziri wa Maji...
  9. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Mzee Wassira, Amani ni matokeo ya Haki, unatangazaje Amani wakati Watu wanatekwa, wanauwawa? Mzee jaribu kua na Busara!!

    Hii Amani yako unayoishupalia shingo ni pale tu UHAI WA CCM unapotishiwa na UPINZANI?. Miaka nenda miaka Rudi ,Hoja kuu ya CCM Huwa ni Amani ,Amani hii ni katika muktadha wa CCM au Taifa?? Kwani Upinzani wakishika NCHI wao ndio wataanzisha vita au nini??. , Mzee Wassira danganya watoto ...
  10. Ojuolegbha

    Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira awasili Songwe kwa ajili ya ziara ya siku 3

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Machi 13 hadi 16, 2025 mkoani Songwe. Uwanjani hapo Makamu Mwenyekiti Wasira alilakiwa na viongozi mbalimbali wa CCM na serikali akiwemo...
  11. Kabende Msakila

    PreGE2025 Stephen Wassira: Mtu mahiri, mbobezi, na mzalendo kwa Taifa

    Wanabodi, Salaam! Namzungumzia nguli wa siasa na diplomasia nchini - mwamba wa nchi - chuma cha pua Mhe Stephen Masatu Wassira. # Ni nadra sana kupata kiongozi mwenye umri mkubwa kama Wassira - kiumweli ukilinganisha umri wake na kazi afanyazo huwezi kuamini; # Mzee Wassira ana uwezo wa...
  12. CM 1774858

    PreGE2025 Stephen Wassira akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu staafu Fredrick Sumaye

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni...
  13. CM 1774858

    Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira awasili kwenye msiba wa baba yake Mohamed Mchengerwa

    Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira amefika kutoa pole nyumbani kwa Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na kushiriki dua ya kisomo kufuatia kifo cha Baba yake mzazi, Alhaj Omary Mchengerwa. Alhaj Omary Mchengerwa, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu...
  14. Mindyou

    PreGE2025 Ally Bananga Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Dar amkingia kifua Wassira kusinzia kwenye vikao "Hakuna dhambi mtu kusinzia

    Wakuu, CCM wananikumbusha mwaka jana ambapo Democrats walikuwa wanamtetea Biden kwamba hana shida yoyote na hali yake ya kiafya iko vizuri. Walidanganya watu wee siku ya debate ikafika, Biden akapigwa katafunua moja na Trump, political career ya Biden ikaishia hapo! Sijui nilitaka niseme...
  15. Mindyou

    Stephen Wassira: Kazi ya Makamu Mwenyekiti CCM haina mshahara ni kujitolea. Hao Vijana wanaweza kufanya kazi zisizo na mishahara?

    Wakuu, Kumbe watanzania mnasakama mzee wa watu kuwa anachukua nafasi za vijana meanwhile kumbe hata halipwi mshahara na ANAJITOLEA? Tungependa pia kujua hizo posho ni shingapi mzee Wassira ili vijana wasikusumbue kabisa. ======================================== Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara...
  16. Lord Denning

    PreGE2025 Majibu kwa Wasirra na Makalla: Sehemu pekee iliyopaswa kutuonyesha Marekebisho ya Sheria mlizofanya hazikuwa hadaa ni Uchaguzi wa Novemba 2024

    Katika kuendelea kuwafanya Watanzania ni wajinga na watu wasiojua chochote, nimewasikia Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephen Wassira na Mwenezi wao Amos Makalla wakidai kuwa, yalishafanyika mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi hivyo hoja ya No Reform No Election haina mashiko. Wassira na Makalla...
  17. Mindyou

    PreGE2025 Stephen Wassira aihakikishia Marekani kwamba Uchaguzi ujao utakuwa ni wa huru na wa haki. CCM wanaogopa vikwazo?

    Wakuu, Tunaposema kuwa CCM inawaogopa zaidi wazungu kuliko wananchi na vyama upinzani tunamaanisha mambo kama haya. Swali la kujiuliza, ni kwanini Wasira "anaihakikishia" Marekani Uchaguzi kuwa huru na wa haki? Shotocan Lucas Mwashambwa naomba msaada kwenye swali langu...
  18. Influenza

    PreGE2025 Lissu: Kukaa na Wassira ni kupoteza muda, kama kuna la kujadili tutajadili na Samia

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hana muda wa kupoteza na kukaa na Mzee Wassira ni kupoteza muda. Amesema hayo wakati akihojiwa katika Kipindi ya Dakika 45 cha ITV baada ya kuulizwa swali kuwa anaonekana namkwepa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wassira aliyesema anamuhitaji...
  19. M

    Aliyenishauri niingie kwenye kilimo cha parachichi hapa Njombe aliniingiza chaka, nimepoteza fedha na muda

    Nimekuwa mkulima wa parachichi kwa miaka mingi, lakini sijawahi kuona pesa inayosemekana ipo kwenye zao hili. Kila mwaka nakutana na sababu zile zile za changamoto za soko. Baada ya kutafakari kwa muda mrefu, nimeamua rasmi kufyeka parachichi na kubadilisha mwelekeo wa kilimo changu. Nitatumia...
  20. Mindyou

    PreGE2025 Stephen Wassira: Wanaosema Uchaguzi haufanyiki hadi reform, hiyo ni ndoto ya mchana. Uchaguzi utafanyika na CCM ijiandae kushinda!

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira amesema Uchaguzi Mkuu ujao (2025) utafanyika kama utakavyopangwa na Tume Huru ya Uchaguzi nchini (INEC). Wasira ametoa kauli hiyo alipokuwa akihutubia wafuasi wa chama hicho katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo...
Back
Top Bottom