Uzee ni muda wa kutubia, kuungama na kutumia kile ulichochuma wakati wa ujana wako. Sio muda wa kutafuta dhambi na maadui wapya bali kutafuta watu wengi zaidi wataokuzika siku ukifa.
Kazi mliyompa Mzee Wasira ya uwenyekiti wa CCM bara ni kazi nzito sana kwa Mzee kama Wasira aliyelitumikia taifa...
Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, amesema si jambo la ajabu kwa majeshi kufahamu siasa za nchi wanazozilinda.
Akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM wa Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, Aprili 23, 2025, Wasira alisema kuwa taasisi yoyote ya ulinzi inapaswa kuelewa...
Sema kuna muda hawa ACT wanapenda sana drama.
Hivi kweli unaaanda press then unaanza kuwaambia waandishi kwamba CCM ianze kujishughulikia wenyewe? Hawa wataweza kweli zile "siasa za mapambano" ambazo huyo Othman alikuwa anazizungumzia?
=============================================
Chama cha...
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wasira amesema kipaumbele cha Chama wakati wote ni kuhakikisha nchi inakuwa na amani.
Pia, ameihakikishia kuwa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika baadae...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Chama na serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kukutana kwa faragha kama walivyotangaza viongozi wa chama hicho, juzi.
Amesema...
Kama CCM imejua kuchagua basi imeteua mtu ambae mtu sahihi hivi sasa. Wasira wanawajua zaidi chadema. Wasira akiongea neno moja CHADEMA 100 mjadala wanauhamishia huko.
Pia Wasira hamungunyi maneno kwa CHADEMA kitu ambacho zinatumika nguvu nyingi kumjibu. Wasira akibonyeza kitufe CHADEMA yote...
Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri
Mdahalo uzungumzie
1. Masuala ya vijana
2. Hali ya kiuchumi
3. Ukosefu wa ajira
4.
Nyingine muongezee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.