Natumia kisimbusi cha startimes na hivi karibuni waliahidi kuonyesha mashindano ya emirates kwa kuanzia kifurushi cha 21,000/=
Ajabu ni kuwa mi sioni chochote, kila nikitembelea channel zao za michezo, premium, focus, life na arena zote hamna kitu. jana ilikuwa chelsea na hull city saa...