spika tulia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Ipi inaweza kuwa sababu ya Tulia kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Uspika?

    Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu Sababu 1...
  2. C

    Hiki kinachoendelea sasa ni baada ya aliyekuwa spika, Dkt. Tulia kupigia debe marekebisho ya sheria ya usalama wa taifa kutowajibishwa kabisa.

    Bunge la uwakilishi wa wananchi lisinge kubali kupitisha sheria ya aina hii , matokeo ya kuto kuwa na maono na kuwa na wabunge wa hovyo haya ndio matunda yake hatuna wawakilishi maana ajenda Wanazo pitisha si za wananchi na haziwahusu wananchi TULIA ACKSON MWANSASU wewe na bunge lako ni chanzo...
  3. Carlos The Jackal

    Tulia kajiondoa Uspika kwa sababu wanataka wampe UWAZIRI MKUU kwenye hii Serikali yao

    Nchi Ina vituko hii !.Kuna hii Taarifa nimeipata muda mfupi hapa Sasa angalieni the motive behind hili, kikao chao kimeona Et kwakua Tulia ni RAIS wa Bunge la Maspika wa Dunia. Wakimpa Uwaziri Mkuu, itasaidia Kwao kuisafisha Nchi Kimataifa !!. Sinamkumbuka BASHITE bado Yuko kwenye Orodha...
  4. M

    Tetesi hizi: Mama mzazi wa Spika Tulia yupo salama?

    Taarifa za ndani zinazotufikia si rafiki sana. Inadaiwa…
  5. J

    Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

    Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni...
  6. ChoiceVariable

    Anaetaka Kushindana na Spika Tulia Atafute Jimbo Lingine kwani Zimwi Likujualo Halikuli Likakwisha

    Rais ame tick Kwa Spika Tulia,nyie wengine tafuteni Majimbo mengine. "Nilikuwa nafuatilia kwa karibu yanayotokea pale Mbeya mjini, Mbeya unapajua (Mkuu wa Mkoa wa Mbeya aliyeapishwa jana) ni pazito kidogo, na ni nyumbani kwa mheshimiwa Spika (Dk.Tulia Ackson) kwahiyo kalinde heshima ya...
  7. Carlos The Jackal

    Wakati Spika Tulia akisema Hamna Utekaji Wala Upoteaji watu bila Kushuhudia, Rais Samia analiagiza Jeshi la Polisi kuzuia Upoteaji watu !!

    Sasa huyu ndio Rais wa Mabunge !! Huyu ndio Mbunge, Msomi wa Sheria !! Wakati analinajisi Bunge tukufu, Jana Ndani ya Bunge hilohilo Rais Samia akaliagiza Jeshi la Polisi kudhibiti Upoteaji watu!!. Tanzania imefikia hatua ya Kila MTU mwenye Mamlaka anakua Chawa Kwa ajili tu ya Hakikisho...
  8. Waufukweni

    Spika Tulia awaka Wabunge kuongea na Wajumbe kwa Simu Bungeni, atishia Kamera kuwamlika

    Spika Dkt. Tulia alivyowataka Wabunge kupunguza sauti na kuepuka kuongea na Simu na Wajumbe Bungeni; "Mnaanza kidogo kidogo, halafu zinapanda" "Waheshimiwa Wabunge mnajadiliana mambo ya msingi sana lakini punguzeni sauti, wale mnaoongea na simu mnaanza kuongea kidogo kidogo lakini baadaye...
  9. M

    PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi. Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni. Esther anakumbana upinzani mkubwa...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  11. Tabutupu

    Spika Tulia, Acha kutusingizia, hatuja kutuma

    Leo nimemsikia spika wa Bunge Tulia, ametumwa na wananchi wa Tanzania kumpa tuzo Rais wa Jamhuri ya watu wasio na mawaa. Sisi wananchi hatuna kumbukumbu ya kukutuma kwa jambo hilo. Tunaomba ukanushe, maana habari hizi sio za kweli kabisa. TCRA wapo njiani kutuma barua vyombo vya habari viondoe...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Spika Tulia: Wabunge wamempa Rais Samia tuzo kwa niaba ya wananchi

    Wakuu Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii? "Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani" "Wabunge hawa...
  13. Just Pray

    Spika Tulia amtaja Janabi, asema ni kwa juhudi za Rais Samia Tanzania imepata viongozi katika taasisi za kimataifa na sio juhudi binafsi za wahusika

    "Mh. Rais umewezesha watanzania wengi kupata nafasi za uongozi katika taasisi za kikanda na kimataifa. Mfanao ya hao viongozi mmojawapo ni Prof. Mohammed Janabi aliyechaguliwa kuwa mkurugenzi wa shirika la afya (WHO) duniani kanda ya Afrika. Aidha leo hii mimi nimesimama mbele yako pamoja na...
  14. Just Pray

    PreGE2025 Spika Tulia: Rais Samia umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria na haki za binadamu

    "Leo tunajivunia Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambao umeakisi utawala bora, weledi, uwajibikaji, uaminifu na ujumuishi, umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria, haki za binadamu, na uwazi unaozingatia usawa, na maendeleo ya kila mwananchi" "Kwa nafasi yetu...
  15. Just Pray

    PreGE2025 Spika Tulia amimina sifa kibao Rais Samia, asema wanaamini ataendelea kuwa taa inayoangaza njia ya taifa kwa miaka mingine ijayo

    Wakuu Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Akson ametiririsha sifa lukuki kwa Rais Samia akisema wanaamini ataendelea kuwa taa inayoangaza njia ya taifa kwa miaka mingine ijayo. "Mheshimiwa Rais tunakupongeza kwa utumishi na uongozi wako ba tunaamini utaendelea kuwa taa...
  16. Mzee wa Code

    PreGE2025 Tulia Ackson awaruka wabunge, asema baadhi ya kauli zilizotolewa kwenye Mjadala wa Wizara ya Mambo ya Ndani si msimamo wa Bunge

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson, amesema kuwa maoni yaliyotolewa na baadhi ya wabunge wakati wa mjadala wa bajeti za Wizara ya Mambo ya Ndani na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, hayawakilishi msimamo rasmi wa BUNGE Aidha, Spika Tulia amesema maoni hayo yalionesha viashiria vya ukiukwaji wa Kanuni za...
  17. Just Pray

    PreGE2025 Wananchi bonde la Uyole waanza kumchangia fedha ya fomu Spika Tulia ili agombee ubunge jimbo la Uyole

    Wakuu kumbe jambo lipo lipo serious, Jumatano Waziri Bashe akiwasilisha hotuba ya bajeti wizara ya kilimo alimuomba alimuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini hatimaye baadhi wananchi kutoka Uyole wameanza kumchangia fomu Cc Stuxnet ===== Wakati vuguvugu la kisiasa...
  18. Just Pray

    PreGE2025 Waziri Bashe amuomba Spika Tulia akagombee ubunge jimbo la Uyole na si Mbeya Mjini

    Wakuu Watu wa uyole wamefikiwa sasa, Stuxnet upo wapi, Spika Tulia Akson Mwansasu atakubali kuliachia jimbo la Mbeya mjini uchaguzi wa mwaka huu akagombee Uyole? Waziri wa kilimo Hussein Bashe leo Mei 21, 2025, katika mkutano wa 19 wa Bunge la 12, jijini Dodoma, akiwasilisha hotuba ya bajeti...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Spika Tulia: Mshahara wa Mbunge hauna tofauti kubwa na wa mtumishi wa Umma

    Spika Tulia amesema mshaara wa mbunge hauna utofauti na mishaara na watu anaolingana nao katika kada ya utumishi wa umma, pengine watu awafahamu kwamba mbunge ni sehemu ya mtumishi wa umma.
  20. GENTAMYCINE

    Kwa utambulisho alioufanya Spika Tulia Ackson Bungeni kwa Mumewe sasa nimeamini kuwa Ukioa tu Mwanamke wa Mkoani Mbeya jiandae Kutawaliwa nae mazima

    Nilidhani atamtambulisha Muwewe (Boss wa EWURA) kwa Majina yake yote Matatu au hata Yeye pia kuacha Kujiita Tulia Ackson Mwakyusa na kujiita Tulia Andilile Mwainyekule lakini kila Mtu kabakia na Jina lake la Ubini / Ukoo ikidhihirisha kuwa ni kweli Wanawake wa Mkoa wa Mbeya wanapenda mno kuwa...
Back
Top Bottom