Salaam!
Nakusalimu Ndugu Spika Mstaafu T, kwa nafasi kubwa na nyeti uliyohudumu kwa miaka mitano ilopita, SI sawa kubaki back bench kama mbunge wa kawaida.
Nilikushauri kutogombea lakini hukupokea ushauri wangu Katika thread zilizopita, lakini pia hujachelewa.
Ombi: Jiuzulu ubunge Ili kurudi...