speaker wa bunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Ipi inaweza kuwa sababu ya Tulia kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Uspika?

    Tulia Axon amejiondoa kugombea Uspika Tukumbuke Tulia Akson ndo spika wa bunge la Dunia (IPU) na Kwa kupoteza nafasi ya Spika katika Taifa lake automatically anapoteza fursa ya kuwa Spika IPU Tulitaraji CCM wangemtengezea nafasi ya kuwa Spika ili aendelee kuwa Spika huko IPu Sababu 1...
  2. The Dictator

    Naibu Spika wa Bunge Musa Zungu alaumu tozo kukataliwa. Wananchi, makampuni ya simu na benki zahusishwa

    "Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].” "Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali...
  3. Determinantor

    Spika wa Bunge ana double standard?

    Miezi michache alisimama mbele ya Bunge akidai kuwa CHADEMA kuna mfumo dume na kwamba yeye "anawaonea huruma na kuwaheshimu sana wanawake" Leo hii, Spika yule yule, tena kwa udhalilishaji wa hali ya juu, kamtoa nje Mbunge wa CCM kwa kile kilichodaiwa kuwa "amevaa" nguo isiyo ya heshima. Huyu...
  4. Nyendo

    Uganda: Jina la Spika wa Bunge, Rebeca laondolewa kugombea kiti cha Spika

    Rais Yoweri Kaguta Museven Amtumbua Speaker wa Bunge Rebeca Alitawala Kadaga baada Ya kuongoza bunge miaka 10, Museven amependekeza jina la Jacob Olanya alie kuwa Naib speaker kuwa speaker wa Bunge. Speake kadaga ameonyesha kutoridhia na kusema bila yeye kupambana Museven asingegombea Urais...
Back
Top Bottom