Habari wakuu.
Nyumba hiyo inauzwa ipo Tandika Sokoni inaukubwa wa sqm 350.
Hii nyumba ina jumla ya Frem30
Mchanganuo wake ni kama ifuatavyo hizo Frem za mbele kodi yake ni sh.150,000.hizo za ubavuni pia kodi yake ni sh.100,000.na zandani kodii sh.70,000.hakuna Frem iliyokuwa wazi zote zina...