soko la samaki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DED Mtwara Mikindani: Muuza Samaki anayetozwa ushuru kisha akiomba risiti anatishiwa, aje aripoti tuwabaini wanaofanya hivyo

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Hassan Nyange ametoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feri, kuhusu madai ya ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru. Hoja ya awali ya Mdau hii hapa ~ Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara...
  2. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa perege za singida

    Habari mm nko ushirombo_ Geita, nahitaji tufanye biashara na mtu ambaye anafanya biashara ya hzi samaki, huwa natembea minadan. Akiwepo kahama, ama maaumbwe
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salma Kikwete: Tumejipanga kuiomba serikali pesa za kukarabati soko la samaki kwenye kijiji cha Mchinga

    "Jana tarehe 16/03/2025 nilipata wasaa wa kutembelea soko la Samaki la katika Kijiji Cha Mchinga II kilichopo katika Jimbo la Mchinga na kujionea shughuli za biashara ya Samaki zinavyofanyika. Hivi karibuni, soko hili limepatwa na kadhia ya Mafuriko yaliyopelekea Miundombinu yake kubomoka...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mazingira ya Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili - Mwanza siyo rafiki

    Wafanyabishara Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili hapa jijini Mwanza wameendelea kufanya shughuli zetu katika mazingira yasiyo rafiki. Soko hill lipo kando ya Ziwa Victoria ambapo shughuli zote zinafanywa pembezoni mwa ziwa hilo kama kuosha samaki, hali hiyo inaweza kuwa mbaya...
  5. JamiiForums Tanzania Tumekatazwa kufanya biashara kwenye Soko la Kimataifa la samaki Ferry

    Habari waungwana, Mimi ni mjasiriamali kutoka ferry. Ndugu zangu maisha hadi sasa hivi yanapoelekea sipo, soko la samaki ila wanakataa tusiuze samaki. Yeyote atakae soma ujumbe huu naomba u share ili kila mtu aone ili tupate msaada. Tunanyanyaswa watanzania na tumekuwa kama wakimbizi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…