Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeshuhudia kauli zinazoshangaza ,eti Yanga inamuogopa Simba! Jamani, kweli hii ni Yanga mnayozungumzia? au kuna Yanga nyingine? Hakuna timu hapa Tanzania inayoweza kumtisha Yanga! Ni ipi hiyo? Haipo! Yanga ni mfalme wa soka la Tanzania, na historia...