Sme (stylized as SME) or Denník Sme (lit. 'We Are Daily') is one of the widely-read mainstream broadsheets in Slovakia. Its website is one of the most-visited internet portals in Slovakia.
Tunashukuru kwa sapoti kubwa kutoka kwa wafanyabiashara na wajasiriamali mbalimbali. Leo tumefika hatua kubwa:
✅ 50,000+ Installs kwenye Play Store
✅ 12,000+ watumiaji hai kila siku
SmartBusiness imekua chaguo la wafanyabiashara kwa ajili ya kusimamia mauzo, malipo na hesabu zao kwa urahisi...
Kwema wanajamvi?? Nimeunga kifurushi cha Voda SME POST PAID cha Tsh 15,000/= kwa mwezi huu ni mwezi wa 3 natumia....!!
Shida nikitaka kulipa baada ya matumizi hela haiendi kwa akaunt yangu inakuwa UNSUCCESSFULL numelipa mara moja siku ya kuiactivate...!!
Msaada hapo nifanyaje mana siku unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.