Imagine umepewa mafunzo ya karate namna ya kupigana, kukwepa ngumi, maeneo muhimu ya kumpiga adui na mbinu kama zote.
(Picha kutoka mtandaoni
Siku moja mtu anakuchokoza unaamua kumuonyesha wewe ni nani! Ngumi zinaanza bahati mbaya unapigwa konde moja la uso🥺
Unajijuta umehamaki hasira, jazba na...