siri ya mafanikio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bwege2030

    SIASA NA SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA.

    SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA. 🎯Uhusiano kati ya Kipato na Uwekezaji "Income starts wealth. Investing completes it." Kipato kama mshahara au faida ya biashara ni mbegu tu,huwezi kuwa na shamba bila mbegu. Lakini ukiila mbegu yote, hutakuwa na mavuno ya baadaye. Uwekezaji ndio unaofanya ile mbegu...
  2. M

    Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
  3. A

    Siri ya mafanikio ya Singapore ambayo Tanzania ilitakiwa kuzingatia sasa na siku zijazo

    Vitu ambavyo Singapore ilizingatia ambavyo Tanzania haizingati Kwa sababu ya kuchagua wasio weza kuwa viongozi.
  4. Hyrax

    Life Code: Siri ya mafanikio yako imefichwa kwenye tarehe, mwezi na mwaka wako wa kuzaliwa

    Ukiweza kufungua code za namba zako za tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa umetoboa Lifetime. Siri hii niliipata kwenye vitabu vya dini ya wayahudi (Judaism) japo washirikina huitumia pia kwenye kuvuruga na kubadilisha sequence ya namba hizo kwa mtu wanayemtarget. CODE.
  5. OMOYOGWANE

    Siri ya mafanikio hii hapa

    Imagine umepewa mafunzo ya karate namna ya kupigana, kukwepa ngumi, maeneo muhimu ya kumpiga adui na mbinu kama zote. (Picha kutoka mtandaoni Siku moja mtu anakuchokoza unaamua kumuonyesha wewe ni nani! Ngumi zinaanza bahati mbaya unapigwa konde moja la uso🥺 Unajijuta umehamaki hasira, jazba na...
  6. Mr Beach Boy

    Majibu ya rafiki yangu baada ya kumuuliza Siri ya mafanikio yake

    Kaka tumekuwa wote kijijini Wote tumefeli darasa la Saba Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa Naomba siri ya mafanikio. Akasema mdogo wangu kuku maji unaweza kusex na nyoka??? Mpaka hapo nikaondoka sikuwa na majibu tena
  7. The redemeer

    Siri ya mafanikio ya mwanaume nyuma ya mwanamke

    . Angalisho. Binafsi mimi ni mwafrika mkristo, hivyo naamini zaidi Biblia na ndicho kitabu nachokifuatilia Au kukisoma zaidi. Ni katika harakati za kumuuliza Mungu wangu majibu juu ya maswali tata yanayotutatiza hasa Waafrika. Ndipo Nilionyeshwa siri ambayo sikuwa naijua au kusikia popote...
Back
Top Bottom