sina hela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuliko kuwaambia watu kuwa mimi ni bahili, si bora uwaambie tu sina hela? Angalau utanipunguzia matatizo

    Kuna jambo ambalo watu wengi hawalizungumzi. Ukikataa kutoa hela, mara moja unaambiwa ni mchoyo, bahili, una roho mbaya, au "Mbinafsi." Lakini ukweli ni kwamba, si kila anayekataa kusaidia ana hela. Wengi wetu tunaishi maisha ambayo kila shilingi ina kazi yake. Mshahara ukingia tayari una...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sina hela kabisa kodi inasubiri bado watoto wanaumwa, watu wa karibu wamenikimbia

    Habari wanaJF ! Tuendelee kupeana moyo kiukweli ni faraj kwa watu wenye matatizo
  3. JamiiForums Tanzania icloud ya iphone yangu imejaa sina hela ya kulipia kuna njia nyingine ya kupata space bila kulipia??

    wakuu nambieni Huu mwaka sitaki kulipa bills za ajabu ajabu.
  4. JamiiForums Tanzania Wana kigoma wamenambia Kama sina hela wala connection nimiliki uchawi nipate heshima

    Huu msemo nineukuta kigoma hapa maeneno ya ujiji, nilienda kutembelea njia za watumwa, Livingstone n.k nimeambiwa story ya mzee mmoja aliekuaa anaitwa juma njemba huyu jamaa nasikia alikua noma gwijii, akikwambia leo jioni haifiki ujue umeenda hivyo wala hakuna mjadala, lakini alikua hakupi...
  5. JamiiForums Tanzania Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate

    Naomba hela yakusuka! Sijala! Mama yangu anaumwa! Gesi imeisha! Sina hela ya bandle! Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate! Utadhani kama usingemtongoza angekufa jinsi anavyokutolea shida utadhani ndo uliyemleta duniani!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Leo weekend halafu sina hela nimechanganyikiwa

    Leo weekend halafu mfuko umechacha mpaka nimepata hasira
  7. M

    JamiiForums Tanzania Umeshakutana na mtu unayemdai anakuambia sina hela ukitaka niue

    Mzuka wanajamvi Kuna jamaa nilikuwa na mdai akawa ananikwepa tukakutana naye ghafla. Nikamzuia na kumuambia anilipe. Jibu alilonipa lilizidi kunikera kwa kuniambia sina hela ukitaka niue basi au fanya chochote. Sasa Shangazi ajiandae kabisa na majibu kama haya kutoka kwa 'short sighted'...
  8. JamiiForums Tanzania Nimechoka kuwa single nataka kuingia kwenye mapenzi

    Nimekuwa Single muda mrefu aisee kuwa Single kwa mtu mzima basi tu ila unaona kuna kitu umemisi bored, stressed...ukiwa mtu mzima sense of belonging muhimu. Japo mambo yaja settle...nataka niingie kwa mtoto mmoja wa Stationary huyu manzi yupo Humble sana ndicho kilichonivuta mtu fulani kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…