sina hamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KENZY

    Taabani majinuni sina hamu!.

    Samaleko... Nilikutana na binti fulani wenyewe wanasema English figure!, kitoto cheupe rangi ya mtume, kilichonipendeza zaidi ni muonekano wa sura yake!, anamacho fulani hivi akikuangalia unaweza ukahisi anakutaka ama ameshakukubalia!.. basi hicho ndicho kimenifanya niwe taabani majinuni...
  2. Leonce jr

    Ni myonge, sina kauli na sina hamu ya kwenda nyumbani tena nilipo zaliwa

    Assalama leko. Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu maisha yamekuwa tofauti sana na nilivyokuwa kipindi cha nyuma nimekuwa mnyonge na nisiye na furaha tena kwa historia za wazee (mababu) nimekuwa chambo kwa hilo kila kitu kimebadilika sana Nyumbani nilipo zaliwa hapakaliki tena nikienda naibua story...
  3. Strong and Fearless

    Yalionikuta sina hamu na nyie wanaume

    Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo Sasa Jana usiku nikachukua namba kumi niasave kwangu nikawa napiga moja baada ya nyingine. Cha...
Back
Top Bottom