KABURI LA MSOMI.
Karibuni sana wapenzi wa simulizi, leo naitambulisha kwenu simulizi hii iitwayo KABURI LA MSOMI. Ndani ya simulizi hii utakutana na visa, mikasa na matukio ya maisha kwa ujumla, vimbwenga, mapenzi wivu, usaliti, chuki na mauaji. Mwandishi anakukaribisheni kutoa maoni ushauri na...
Miaka mingi iliyopita nilikua naishi mbali na nyumbani sababu ya masomo, ghafla nikawa kila nikilala namuota kaka yangu na nikiwa kwenye ukimya nasikia sauti yake.
Siku moja, nimeamka tu asubuhi nikapata msukumo wa ajabu niende nyumbani. Nikakata tiketi ya kurudi home bila kuwaambia wazazi...