simu za android

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. posian el

    Audio player nzuri kwa simu za Android

    Je kuna offline audio player nzuri kushinda hizo hapo juu zenye user face nzuri na quality nzuri ya muziki kushinda poweramp player...kama zipi basi unaweza kuzitaja hapo chini....Kwangu Poweramp na oto player ni best
  2. uvugizi

    KIOO CHA SIMU ZA ANDROID KUWEKA UFA BILA SABABU

    Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake. Ukiangalia maduka mengi ya...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    Kwa usalama zaidi simu za android zitakua zinajizima zenyewe kila baada ya siku 3

    Nazani Kuna watu toka wanunue simu hawajawahi kuizima hata mara moja ikitokea imezima basi chaji imeisha kabisa. Mfumo wa uendeshaji wa simu Google operating system wa android toka Google, sasa wanaweka mfumo mpya wa kisasa wa uwezo wa simu kujizima yenyewe ndani ya siku tatu baada ya kukaa...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    WhatsApp itaacha kufanya kazi kwenye simu zifuatazo ifikapo Mwezi Mei 2025

    Ifikapo Mwezi Mei 2025, Whatsapp itaweza kuacha kufanya kazi Kwenye baadhi ya Simu za Android na iphone. Whatsapp ambayo ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya bilioni mbili kwa Mwezi ikiwemo Tanzania, kampuni Mama ya Meta ambayo inamiliki mtandao wa Whatsapp itaweza kuzuia baadhi ya sinu zenye...
Back
Top Bottom