Tuseme ukweli bila kupepesa macho
Unalala nayo kitandani
Ukiamka kitu cha kwanza ni kuiangalia
Ukiisahau nyumbani, siku yote unakuwa kama umetupwa kisiwa cha peke yako
Battery ikishuka chini ya 20% moyo unaanza kukudunda kama una deni.
Bundle likiisha kwa baadhi ya watu bora asinunue chakula...