simba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Somo laanza kumuingia CEO wa Simba, ataka clubs za Afrika kutumia makocha wa kiafrika

    Opportunities ilitokea wazi kwa yule kocha toka Ghana, yule kocha toka Guinea wa Horoya, kama kawaida mkakimbilia wazungu Zoran kalilia nafasi mbili kuingiza beki na foward kila mtu kaona aina ya usajili wake ni bora mara 100 angekuja Harvey ngomo wa cameroon kama beki leo team iko stuck na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mlionitukana niliposema kuwa ndani ya Simba SC kuna tatizo kubwa, rudini tena mnitukane

    Haiingii Akilini Kocha Mkuu umemtafuta Mwenyewe na Dela lako Mchongoko na Miguu yako ya Fito na Mwili wa Fidodido tena Ukatuhakikishia ni bonge la Kocha halafu leo ghafla tu mnaachana nae. Maumivu ya Kutuletea Kocha Mzoa Taka wa Jijini Madrid aliyekuwa akifundisha Real Madrid ya Temeke Mwembe...
  3. JamiiForums Tanzania Simba yavunja Mkataba na Kocha wake Zoran Maki

    Klabu ya Simba imeachana na kocha wake mkuu Zoran Maki, akiwa ameifundisha timu hiyo kwa siku 67 pekee. Awali Zoran aliingia mkataba wa mwaka mmoja na Simba ambapo leo wamefikia makubaliano ya pamoja kuvunja mkataba huo kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Babra Gonzalez. Vilevile Simba...
  4. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa Mhe. Ismail Aden Rage kuwaomba mashabiki wa Simba msamaha

    Kwa heshima na taadhima naomba huyu Mheshimiwa ajitokeze hadharani kuwaomba mashabiki msamaha kwa kuwaita mbumbumbu wakati alipokuwa kiongozi mkubwa tu wa Simba Sports Club. Ni vizuri akalifanya jambo hili wakati bado akiwa hai. Hata kama alighadhabika kiasi gani, bado hakutakiwa kuwaita...
  5. JamiiForums Tanzania Inamaana simba wachezaji wote ni wazee?

  6. JamiiForums Tanzania WOTE HAWA WAMEWAHI KUIFUNGA SIMBA

    Kwa mfano Simba na Yanga Oktoba saba apige MORRISON, nane ZAWADI MAUYA, tisa FEITOTO, kumi MAYELE, kumi na moja AZIZ KII WOOOTE hawa WAMEIFUNGA SIMBA kwa nyakati tofauti
  7. JamiiForums Tanzania Simba yafungwa 1-0 na AS Arta Solar (timu ya kina Alex Song, Kalou)

    Simba imepoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya AS Arta Solar kwa kufungwa goli 1-0 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, leo Septemba 3, 2022. Licha ya kutawala mchezo huo kwa muda mwingi Simba iliruhusu goli hilo katika dakika ya 88. Mchezo huo ulikuwa ni maalum kwa #Simba kujiandaa na Ligi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Simba Queen yapata Basi kubwa jipya. Yanga Princess vipi!?

    Simba Queen inaendelea kujiendesha kibiashara kila siku. Leo wamepokea basi kubwa la kisasa kutoka AfriCarier.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Simba wamepatia 80%

    Simba imesajili vizuri Upande wa Beki sio mbaya sana, Akpan atamsaidia Kanoute. Mhm apunguze UZITO. PHIRI is the best kwa sbb ana track mpira na anakimbia kwa haraka naye aongeze mazoezi ya kupunguza uzito. Mzungu DEJAN yule hapana kwa soka la Afrika hatatusaidia mfano Jana SImba wakicheza...
  10. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba apunguze ujuaji, haijui Simba

    Bwana Zoran anatumia muda mwingi kuwaaminisha viongozi wa Simba SC pamoja na mamilioni ya mashabiki mtaa wa Msimbazi kwamba striker Dejan ni bonge la striker wa kutumainiwa katika kikosi cha Msimbazi msimu huu. Mpaka sasa, Dejan ameonesha uwezo sawa na wachezaji wetu wa ndani, kama bado anakitu...
  11. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zinapaswa kujifunza zaidi fitna za mechi za kimataifa, tulichokiona Sudan ni trailer tu, picha lenyewe linakuja

    Kwanza nikiri mechi ya Jana kati ya Simba na Al hilal sikuangalia Kwa lakini kutokana na mazingira nilikuwa sehemu za kugonga vyombo. Lakini nimejifunza kitu Watanzania tuna ukarimu wa kiboya sana, tunawakarimu wageni wakija kwetu lakini tukienda kwao ni tofauti. Kwa mechi kama ya Jana tena...
  12. JamiiForums Tanzania Wachezaji Wa Simba S. C Acheni "Kumzururisha" Mzungu

    Hivi Karibuni Mchezaji Dejan alipofunga goli Mashabiki wengi wa Simba tulifurahi sana. Sababu ya kufurahi ni kua toka asajiliwe Mchezaji huyu hakua amefunga goli kwenye mechi yoyote ile ukiacha mazoezini labda. Wengi tulianza kuamini kua Mchezaji huyu "tumepigwa", wengine kufikia kusema aheri...
  13. JamiiForums Tanzania KOCHA ZOLAN HAWEZI KUIFIKISHA SIMBA SC POPOTE

    Simuelewi kabisa huyu kocha na falsafa zake za kuwaweka benchi wachezaji kama Nyoni, Kennedy Juma, John Bocco ...ha2a ni wachezaji ambao hawajacheza mchezo wowote mpaka sasa nilitaraji angewatumia ktk mechi izi za Sudan ila ajabu hakuna mabadiliko. Ni wazi nimeona dalili za kocha huyu...
  14. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club kazi mnayo

    Ninaangalia mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Al Hilal Nina haya niliyoyaona. 1. Timu ina vipasi fulani hivi ambavyo havina impact yoyote. 2. Simba hamna timu ya ushindani tunacheza kitoto sana. 3. Nimependa physic na height ya wachezaji wa All Hilal na hizi ndizo height tunaenda kukutana nazo...
  15. JamiiForums Tanzania Mzungu wa Simba tumepigwa na kitu kizito kichwani

    Binafsi sijaona kazi yake sijui Ni macho yangu? Nyie mnaonaje?
  16. JamiiForums Tanzania Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

    Mchezo ni saa 2 usiku Lineup ya Simba
  17. JamiiForums Tanzania Yanga inatembelea Nyota ya Simba kimataifa, iwe na nidhamu

    Yanga ni klabu kongwe lakini haina chochote mbele ya uso wa soka la kimataifa. Ni kama pilipili hoho tu kubwa lakini haliwashi. Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikichezea vichapo hata kwenye michezo ya kimataifa ya kirafiki. Ikumbukwe tangu kocha Nabi ajiunge hajawahi kifunga mechi yeyote...
  18. JamiiForums Tanzania Ghana: Auawa kwa kushambuliwa na Simba akidaiwa kutaka kuiba watoto wa Simba

    Mamlaka za Ghana zinachunguza kifo cha Mwanaume mmoja kilichotokana na kushambuliwa na Simba katika bustani ya Wanyama Jijini Accra ikidaiwa alikuwa na lengo la kuiba Watoto wa Simba. Uongozi wa bustani hiyo umesema uchunguzi wa awali umeonesha marehemu aliruka ukuta wa futi 10 kisha wa futi 20...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tshabalala abadilike, Simba mlijue hili mapema

    Tshabalala anashida moja mzuri kuattack likija suala la kujilinda ni uchochoro. Akicheza na winga sio wa kurudi kuja kumsaidia tutaumia sana mechi za CAF Quattara mzuri wanasimba wasiwe na shaka naye ajirekebishe tu kwenye pace ni mzito fulani Goli la Jana na KOTOKO walitegeana yeye na...
  20. JamiiForums Tanzania Upande wa LB Zimbwe na CB Ouatarra unaenda kuwa UCHOCHORO wana SIMBA kupigwa nyingi

    Ndugu zangu ukweli usemwe huyu Ouatarra mzito na hana speed bora babu Onyango.. Mohamed Hussein ana makosa mengi sana na huwa anachelewa kurudi tunaposhambuliwa.. Sasa yule wa kurekebisha makosa ndio mzito, mzembe na hana speed Hata utopolo walitufunga tokana na hawa viazi wawili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…