simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Natamani Young Africans Achukue CAF Champions League Na Simba SC Achukue CAF Confederation Cup 24/25

    Habari wapenzi wa soccer. Young Africans yupo kwenye mashindano makubwa ya CAF Champions League 2024/2025 na Simba Sc yupo kwenye mashindano ya CAF Confederation Cup 2024/2025. Natamani kila mmoja ashinde kwenye mashindano ambayo yupo yaani Young Africans awe bingwa wa CAF Champions League...
  2. PreGE2025 Godbless Lema azungumzia matukio ya utekaji na Wamaasai kuondolewa Ngorongoro; Atamani Simba na Yanga zisingekuwepo

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless amesema "ameona juzi kuna mbunge ndani ya Bunge ametaka Bunge lijadili masuala ya watu kupotea na kutekwa, spika anazuia mjadala wa watu kutekwa, lile halina uhalisia wa bunge. Huwezi kuwa na bunge ambalo...
  3. John Bocco kwa umri wako wa miaka 35, ukivunjika kupona nchini ni ngumu, timu yako haiwezi kukupeleka nje ya nchi kutibiwa, ungepumzika tu

    Simba waliamua kukupa kazi ili ustaafu kwa heshima ila ukaikataa hiyo heshima. Passport yako inasoma izaliwa 1989 si ajabu kiuhalisia ni 1984, ninavyojua mimi miaka 40 uliyonayo ukipata serious injury huwezi kupona kwa hospitali zetu,timu yako ya sasa haina uwezo wa kukupeleka nje ya nchi...
  4. Kuna haja ya Simba na Yanga kuja na wazo moja na kujenga uwanja wakatumia pamoja zinatia aibu

    Yanga na Simba waondoe tofauti zao kwa muda wajenge Uwanja mkubwa sana na wautumie pamoja . Waige kwa Ac Milan na Inter Milan , Birmingham city na Coventry, Lazio na Roma na vilabu vingine ....ifike mahali waone aibu . Soma Pia: Yanga kujenga Uwanja wa kisasa eneo la Mto Msimbazi!
  5. Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Siku zote mpira unachezwa hadharani na sio propaganda uchwara, ukipanda mahindi utavuna mahindi na sio bangi, ukiwekeza kwenye mpira utalipwa sawasawa na ulivyowekeza. Tumeona timu 4 zinashiriki mashindano ya kimataifa msimu huu na tayari timu 2 zimeshayaaga mashindano rasmi, zimebaki timu 2...
  6. Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

    WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91] 1. Mabululu (Angola [emoji1029]) 2. Herelinson (Angola [emoji1029]) 3. Ayoub (Tunisia [emoji1249]) 4. Mourad (Tunisia [emoji1249]) 5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193]) 6. Manzi (Rwanda [emoji1206]) 7. Isac Mintah (Ghana...
  7. L

    Mambo 15 niliyoyaona Simba ikiiangamiza Fountain Gate leo

    1. Kipa wa Simba ana utulivu sana ni moja ya makipa bora kabisa ambao Simba msimu huu tunajivunia 2.Abdulrazak Hamza nimewaona akina Costa, Deo Njohole, Nico Bambaga wakati fulani akicheza namba nne, hata marehemu Method Mogella, Juma Limonga, Fikiri Magoso, Godwin Aswile, Mustafa Hoza, Juma...
  8. M

    Kocha Gamondi atafutiwe kocha msaidizi mzawa

    Nikiwa kama mdau na mshabiki wa soka la Tanzania, nami nimewiwa kuchangia hili kwa maendeleo endelevu ya soka la klabu ya Yanga na Taifa kwa ujumla Nashauri klabu ya Yanga ilete kocha kijana mzawa awe kwenye jopo/benchi la ufundi la kocha wa timu ya Yanga( Dar Young African FC). Hii ni...
  9. Baada ya Azam kuondolewa CAFC, kituo kinachofwata msimbazi Simba mjiandae

    Sio kwania mbaya ama nawatisha vizuri mkawa sawa kisaikolojia. Baada ya Azam FC kutupwa nje na APR ya Rwanda katika mashindao ya CAF Champions ligi . Wanaofwata ni Simba SC katika kombe la Shirikisho la Afrika Mashabiki mjiandae kisaikolojia. Soma Pia: FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC |...
  10. FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

    Match Day. ⏰ 16:00hrs #nguvumoja# Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Fountain Gates Kinachoanza.
  11. L

    Bodi ya Ligi tunaomba Simba awe anacheza mara 2 kwa wiki ili kutuondoa kwenye upweke wa burudani

    Naiona mbali sana kesho dhidi ya Fountain Gate sijuwi golini atakaa nani, mbavu za kulia na kushoto atakuwa nani, mabeki kesho ni nani, nani atacheza na Che Malone baina ya Chamou na Hamza, je kesho viungo ni nani, Ngoma au Kagoma au Okajepha, pembeni kesho yuko nani, Balua na Chasambi au Kibu...
  12. Je, wachezaji gani wa Simba wanaweza penya 11 ya Yanga?

    Wakuu Kwa jinsi kikosi kizito Cha Yanga ( Real Madrid ya Africa) kilivyoshonwa Kwa mastaa wazito na kukifanya kiwe kikosi hatari Kwa ukanda huu wa CECAFA na kusini mwa Jangwa la Sahara Kwa mfano viongozi wa Yanga kama wakiamua kuongeza wachezaji wa pale Simba, Je ni wachezaji gani wa Simba...
  13. D

    Simba SC kuna mchezaji wa kumuweka benchi Mzize? Nani ana hata robo ya profile ya Mzize?

    1. Tuwe wa kweli, Simba pale nani ana profile kama Mzize? Sio simba tu hata azam fc nani? Hamna 2. ligi nzima nani? Amna. Mzize ni bonge moja la mchezaji, ni yanga tu ina alot of stars. Na bado mzize anapata number. Hivi mnajua kupata number yanga ni kazi kweli kweli. Also 3. Simba nani...
  14. Rais Samia: Nimewatia wadhamini timu za Simba SC na Yanga SC

    Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais Samia akizungumza katika uwekaji wa Jiwe la...
  15. Je, wana Simba SC Wenzangu mpaka hapa bado tu hatujajua Wasaliti wetu kwa Wachezaji na Uthibitisho kuwa Tunafungwa nao kwa mengi ya Nje ya Uwanja?

    NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC "Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule. Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu...
  16. Mlioelewa alichokizungumza Rais Samia kuhusu Simba SC na Yanga SC naombeni kueleweshwa

    "Najua vilabu vyetu vikubwa vya Tanzania Simba, Yanga sasa mimi mama yao nipo katikati akisemwa vizuri Simba mimi napiga makofi akisemwa vizuri Yanga mimi nafurahi, na kulipokuwa na Simba day ambayo Majaliwa hakuwepo na Yanga day nikapiga kuwapongeza, ilipokuwa Yanga day Makamu wa Rais alikuwepo...
  17. U

    Rais wa Yanga aisifia Simba kuwa wana timu nzuri sana na wamefanya uwekezaji mkubwa wa billion 7

    “Simba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua, amenionyesha kitu kizuri naendelea kumtia moyo aongeze jitihada,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.
  18. Simba Queens waendelea kushusha vichapo CECAFA Women waichapa Kawempe Muslim goli 3-0

    Hii timu hii inagawa tu doze huko Ethiopia kwenye mashindano ya CECAFA Women. Zilianza 5,leo 3. Kila la kheri na hongereni kwa kuipeperusha vema Nembo ya Simba. Soma Pia:Full Time: Simba Queens 5-0 Fad Djibouti | 2024 CAF Women's Champions League - CECAFA Qualifiers
  19. Kamwe sitounyamazia huu Upuuzi wa baadhi ya Mashabiki Wenzangu wa Simba SC kuwa GSM imedhamini Vilabu Saba NBC hivyo itapanga Matokeo

    Sasa kama mnajua kuwa GSM ambao ndiyo Wadhamini Wakuu wa Yanga SC na kwamba itasababisha Fikra zenu za Kipumbavu kuwa kutakuwa na Upangaji wa Matokeo (Match Fixing) pale Yanga SC ikicheza na hivyo Vilabu Saba ( 7 ) sasa kwanini nanyi / nasi pia tusimwambie Tajiri yetu Tapeli na Muongo nae...
  20. Je, TFF walichelewesha kutoa ratiba ya ligi kuu ili kumbeba Simba?

    Ukiangalia jinsi matches hizi za mwanzo za Simba zilivyopanga unaona kabisa zilipilangwa kimkakati ili kuwapa urahisi wa ushindi na kuwapunguzia pressure kwa mashabiki na wanachama wao. Haiwezekani match ya kwanza na Tabora wamecheza huku Tabora ukiwa haina wachezaji wake wote muhimu wa kigeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…