simanzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hizi ni ajali tatu zilizoniachia kumbukumbu mbaya zenye simanzi kwenye akili yangu

    Hizi ni ajali ambazo hadi leo zimeniachia simanzi na kumbukumbu mbaya kichwani mwangu. Sikupoteza ndugu wala mtu yeyote wa karibu ila ziliniumiza mno. 1. Ajali ya moto kwenye bweni la wasichana Shauritanga sec, Rombo Hii ajali ilitokea usiku wa tarehe 18 June 1994. Bweni lilishika moto na...
  2. W

    Siku 100 za Rais Samia vingapi ametekeleza?

    Leo, Februari 10, 2026, ni siku ya 100 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuanza awamu yake ya pili ya uongozi wake Novemba 03, 2025. Siku 100 ni muda mfupi katika uongozi wa taifa, lakini mara nyingi ndiyo kioo cha kwanza cha mwelekeo wa mamlaka. Kwa Rais Samia, siku hizi hazikupita...
  3. GE2025 Wanaosubiri uteuzi hawaruhusiwi kuonyesha simanzi ya yaliyotokea

    Baada ya kutokea machafuko wanasiasa wanaosubiri kuteuliwa hawana haja ya kutoa pole kwa wafiwa au kuonyesha kuguswa kwa yaliyotokea hadi pale Rais atakapoonyesha amechukizwa na hilo
  4. Siasa bhana, Nape anachonga vonyago na simanzi moyoni, nimeambiwa January Makamba akafungua Madrassa

    Kuna picha inamwonesha mwanasiasa Nape Nauye aliyemwita mwendazake mshamba, akamla kichwa, Leo anachonga vinyagooo. Leo hii NASIKIA Makamba amefungua Madrassa je nikweli? WALIOKUWA makampeni mastamind Leo hii wako benchi.
  5. R

    inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

    Soma mwenyewe MUNGU ATAMPIGANIA ================ Mheshimiwa Jaji, Lazima sasa nihitimishe maelezo yangu. Wewe umefanya kile ambacho sheria imekuamuru kufanya, yaani, kunipeleka kusikilizwa katika Mahakama Kuu. Waendesha mashtaka wa serikali pia wamefanya kile walichoona kuwa ni wajibu wao...
  6. Kifo cha Imam wetu kipenzi kinaleta Simanzi.

    Kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali A.S mkombozi wa waislamu aliuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu. Alijitolea nafsi ili haki ipatikane duniani Na kurudisha utu wa ubinadamu. Wanadamu Sasa hivi tumejawa dhulma na uonevu na...
  7. Kwa wakongwe tuu. Kumbukizi zenye simanzi

    Tuliyaishi haya maisha.. Leo yamebaki kuwa simulizi za vitabuni.. Hakuna uhalisia tena Hakuna urafiki wa kweli tena.. Marafiki wa siku hizi ni mazombi ya mitandaoni.. Ni urafiki gani huo hamjuani wala hamjawahi kuonana?
  8. Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, amesema kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile, kimeacha simanzi kubwa kwa Bunge na Watanzania kwa ujumla, kutokana na mchango wake...
  9. Kuwakosa Viongozi Wenye Hekima Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kunaleta Hatari ya Kuwapata Viongozi Wasio na Hekima Kwenye Serikali.

    Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali hushikwa na hao viongozi wa chama kilichoshinda uchaguzi. Hii ina maana mkiwa na viongozi wa hovyo ndani...
  10. Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla...
  11. Maelfu wamlilia Ali Kamwe,ni vilio na simanzi jangwani asubuhi hii

    Furaha za ushindi wa yanga jana dhidi ya Kaizer Chief zimeingia dosari kufuatia sintofahamu ya afisa habari wa klabu hiyo kutoa chapisho lenye utata. Maelfu ya mashabiki na wanachama wamekusanyika nje ya klabu yao asubuhi hii mitaa ya Jangwani na Twiga,mazungumzo yanayotawala ni kuhusu Alli...
  12. 2024 mwaka wa simanzi na masononeko

    Mwaka huu kweli tuanzeni kutubu na kumwamini Mungu yanaoendelea mitandaoni na duniani ni wazi kiwango cha watu kuchanganyikiwa na kufanya mambo ya ajabu kimeongezeka. Israeli anaua vile watoto wa Gaza na duniani inashuhudia kabisa halafu watu wako busy na maisha yao yaani ubinafsi wa hali ya...
  13. Adhabu ya kifo kwa Muhammad Mursa iliyozua simanzi

    Umewahi kuona muuaji ambaye polisi wanamlilia, wanahabari wanalia, watu wanakusanyika wakimuombea msamaha, na nchi nzima inalia, lakini pamoja na yote hayo hukumu ya kifo ikatekelezwa? Tukio hili la kusikitisha sana la mauaji ya kukatwa kichwa kwa upanga lililotekelezwa tarehe 20 Septemba mwaka...
  14. Moyo wangu umejaa simanzi na uchungu! Nchi inaliwa sana hii

    TRA ikisema ikusanye fedha zinazoibiwa kama CAG alivyosema, itakusanya hela nyingi kuliko hizi wanazokimbizana na Wafanyabiashara huku barabarani. Na Dkt Mwigulu Nchemba akisema aache Safari zake za nje za kwenda kutafuta mikopo himilivu,then afuatilie hela za mashirika yanayojiendesha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…