simanjiro

Simanjiro District is one of the six districts of the Manyara Region of Tanzania. It is bordered to the north by Arusha Region, to the north east by Kilimanjaro Region, to the south east by Tanga Region, to the south by Kiteto District, to the south west by Dodoma Region and to the west by Babati Rural District. The district headquarters are located in Orkesumet. According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Simanjro District was 178,693.

View More On Wikipedia.org
  1. KERO Hali ya Miundombinu Barabara za Simanjiro

    1. Barabara Kuu: Arusha - Simanjiro - Kiteto - Kongwa Hii ni moja ya barabara ndefu zaidi nchini iliyobaki katika kiwango cha changarawe inayounganisha mikoa mitatu. Barabara hii, iliyo chini ya TANROADS, inapita Simanjiro kuelekea wilayani Kiteto. Kwa sasa, mvua zinazoendelea kunyesha zimeleta...
  2. Manyara Kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Simanjiro, Sendiga Asisitiza Usawa

    Na Ruth Kyelula, Manyara Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kimkoa tarehe 8 Machi 2026 katika Wilaya ya Simanjiro, huku Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Queen Sendiga, akitoa wito kwa jamii kuhakikisha haki za wanawake na wasichana zinalindwa na kuheshimiwa. Akizungumza na...
  3. TANESCO Simanjiro: Je, mnatupa Umeme au mnatulisha "Radhi" za WhatsApp?

    Wakuu wa JamiiForums, habari za muda huu. Nimekuja hapa kuelezea machungu ya sisi wananchi wa Wilaya ya Simanjiro, hususan maeneo ya Terrat, na vijiji vyote vinavyopata umeme kupitia njia za Sinoni na Monduli. Kiukweli hali ya umeme huku kwetu imekuwa ni kero isiyovumilika,Sijui kwa maeneo...
  4. GE2025 Mgombea ubunge ACT: Nitakwenda kuwa chawa wa wananchi wa Simanjiro

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Simanjiro kupitia ACT-Wazalendo Ndg.Olekai Letion Laizer amesema kuwa ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge wa Simanjiro atakwenda kutetea maslahi ya wananchi wa Simanjiro. Letion ameyasema hayo akiwa katika Kata ya Komolo wilayani Simanjiro wakati akizindua...
  5. GE2025 Wajumbe waliamsha Simanjiro wakidai Katibu anaharibu mchakato wa kura za maoni

    Mko wapi? Its now obvious kwamba hata huko CCM wanahitaji kufanya reforms Hapa hawa wananchi wanalalamika kwamba kuna rafu zimefanyika kwenye mchakato wa Uchaguzi ambapo huyo Katibu anatuhumiwa kucheza rafu
  6. PreGE2025 Kiria Ormemei aandika barua kutia nia jimbo la Simanjiro

    Katika video aliyopakia mtandao wa TikTok tarehe 1 Juni 2025, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Simanjiro, Kiria Ormemei Laizer, ameonekana akizungumza katika ibada ya Jumapili, akitangaza rasmi nia yake ya kuwania ubunge wa Jimbo la Simanjiro kupitia chama hicho cha Mapinduzi. Kiria Ormemei...
  7. PreGE2025 James Millya atarudi jimbo la Simanjiro ama tutaendelea na Christopher Ole Sendeka?

    Uchaguzi mkuu unakaribia na katika jimbo la Simanjiro wanatajwa wengi kuwania nafasi ya ubunge , Tunahitaji angalau wawakilishi wenye kiwango kikubwa cha Elimu ,si elimu itasaidia lakini angalau itawafanya wabunge kuwa waadilifu. Huenda isifanye wawe waadilifu lakini basi itawafanya waweze...
  8. Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama. Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa...
  9. Je wajua kuna kipande cha Pori la Simanjiro wameishakabidhiwa Waraabu? Hizo tuzo sio za Bure bure tu.

    Simanjiro kule kumeisha anza kuchangamka, Mwarabu kaanza kukabidhiwa mapema sana maeneo. Hata sakata la Olesendeka kutaka kupigwa risasi lilikuwa na uhusiano na sakata la Pori la akiba kule Simaniro kupewa Mwarabu. Kipande alicho pewa ni kinacho pakana na Kilindi, hii ni treal move kamili ni...
  10. RC Sendiga amwagiza Mkuu wa Polisi Simanjiro kumkamata Afisa Polisi kwa uzembe Kesi ya Ujauzito wa Mwanafunzi

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amemwagiza Mkuu wa Polisi Wilaya ya Simanjiro kumkamata na kumweka ndani Afisa wa Polisi Kata ya Loibosiriet, Ester Tairo, kwa uzembe kutokana na kushindwa kumkamata kijana aliyemsababishia ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari...
  11. Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto

    Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wakishinikiza Serikali kutatua changamoto ya eneo korofi...
  12. LGE2024 Mwenezi CHADEMA Simanjiro amepongeza mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024

    Kuna baadhi ya maeneo wagombea wa CHADEMA wameenguliwa lakani wengine wanafurahia mchakato unavyoendeshwa hadi sasa. ============= Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Ambrose Ndege, amepongeza mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa...
  13. Simanjiro: Wananchi kijiji cha Loswaki wafanya mdahalo kuhusu kilimo cha umwagiliaji na kujikwamua kiuchumi

    Tumefanya mdahalo wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu kilimo cha umwagiliaji kama njia ya kujikwamua kiuchumi. Akina mama walioshiriki walitoa ushuhuda wa jinsi kilimo hiki kimewasaidia kuboresha maisha yao na kuleta mabadiliko ya kijamii. Kupitia vipindi kama Nijuze, tunaendelea...
  14. Wazazi wamejenga darasa kwa udongo watoto wanakaa chini kusoma Simanjiro.

    Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Wilaya ya Simanjiro Manyara wazazi wamejenga darasa kwa udongo ili kuwasaidia watoto kujipatia elimu lakini pia kuokoa maisha yao kutokana na korongo la msimu huwa wanashindwa kuvuka na kusombwa na maji. Wakizungumza mwenyekiti wa kitongoji,wazazi na...
  15. Maandamano Makubwa Kata ya Olijoro Namba 5, Mkoani Manyara Wananchi Wafunga Barabara Kudai Maji, Polisi waingilia kati

    Wananchi wa Kata ya Olijoro namba 5 Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ambapo leo Agosti 26, 2024 yamefanyika maandamano makubwa ya Wananchi wakiishinikiza Serikali, Kuwapatia maji baada ya huduma hiyo kuikosa kwa muda mrefu sasa. Wananchi na Viongozi wa Vijiji wamesema changamoto hiyo ni ya...
  16. Wako Wapi Wabunge wa Simanjiro, Longido, Monduli na Kiteto? Hamuwaoni ndugu zenu wanavyo teseka? Wakati wenu waja

    Hawa wabunge huwezi wasikia kwenye swala lolote la kutetea Wasai wenzao wanao taabika na wanao kuwa wakimbizi chini ya utawala wa kikaburu wa CCM, hawa wanangoja vipindi vya kampeni vifike wakawadanganye wamasai wenzao na kuwalisha nyama ili wawapigie kura tena. Hawa wabunge huu ulikuwa ni...
  17. Baada ya Rais Samia kutembelea Mkoa wa Morogoro atembelee wilaya ya Kiteto (Kibaya) na Simanjiro - Orkesmet

    Tunaomba Rais atembelee maeneo yaliyotajwa hapo juu. Maeneo hayo wananchi Wana umri wa miaka 60, hawajawahi kuona sura ya lami. Maswali ni mengi kuliko majibu.
  18. Msaada wa Sanduku la Posta la RITA wilaya ya Simanjiro

    Wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema. Naomba Msaada wa Sanduku La Posta la RITA wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara. Mwenye ufahamu naomba anisaidie. Natanguliza shukran.
  19. PreGE2025 Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

    Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro. Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake. Taarifa zaidi zitakujia baadae. Hakuna alie salama..!! --- Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
  20. Simanjiro: Kampuni ya Gem & Rocky Venture inayochimba madini ya Tanzanite kitalu B katika Mji wa Mirerani imetakiwa kuchimba kufuata leseni waliyopewa

    Kampuni ya uchimbaji madini ya Gem & Rocky Venture inayochimba madini ya Tanzanite kitalu B katika Mji wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara imetakiwa kuchimba madini hayo kwa kufuata leseni waliyopewa na sio vinginevyo. Hayo yalisemwa na Afisa Mfawidhi wa Madini Kanda ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…