sikuwahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sikuwahi kujua kama Watanzania ni watu wanaojidharau kiasi hiki, wanaamini Mataifa mengine ndiyo Paradiso, wageni ndio wenye thamani bali si wao

    Hali inatisha sana, Watanzania ni watu wanaojidharau sana sikuwahi kufahamu hili tangu mwanzo Hawajiamini kabisa hasa wanapojilinganisha na watu mashuhuri duniani Hawaoni kama wao wana thamani kubwa wala hawaoni thamani ya Taifa lao Mtanzania anaposema anamfahamu Barack Obama basi watakataa...
  2. Sikuwahi kutegemea kama punyeto inaweza kutambulika kama janga, najiuliza, vijana wa kisasa wame-overdose au mitandao ndio ime expose?

    Haimaanishi ilikuwa ni lazima kijana ufanye punyeto katika processs ya ukuaji wako lakini pia haimanishi ilikuwa sio jambo la kawaida kufanya punyeto, ni kitu cha enzi na enzi, Lakini kwa sasa punyeto haisomeki kama step ya maisha ila inasomeka kama sehemu ya maisha, maana katika wingi mkubwa...
  3. Sikuwahi kufikiri kama Wanachuo wa UDSM wangefanya mzaha mkubwa kiasi, hii inaonesha dunia kuwa masihara ni sehemu ya maisha yao

    Sikuwahi kamwe kudhani kuwa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kingekubali Wanachuo wake waoneshe uma masihara makubwa ya kiasi hiki Masihara haya yataeleza dunia kuwa ni kiasi gani Chuo hiki hakina hadhi Wamejitokeza Wanachuo wa UDSM wakaunda toy nakuita Robot Kujaribu sio kosa bali ni mwanzo wa...
  4. M

    Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

    Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi. Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
  5. Nimewakumbuka Marehemu Mama na Pacha wangu Japo sikuwahi kuwaona kwa Sura

    Muda huu nimejikuta ghafla namkumbuka marehemu mama yangu, Mama mapacha Nusratt na Nasra. Tulizaliwa mapacha na mimi nikiwa Dotto. Kwa bahati mbaya nasikia mama alipata ajali akiwa na Kulwa (Nasra) wakati wakitoka hospitali ambako Kulwa alikuwa anaugua mafua na homa. Mama na pacha wangu...
  6. GE2025 Zungu awashukuru wajumbe wa Ilala kwa kumpigia kura

    Anafikika kwa urahisi kabisa na wanajimbo wake, iwe usiku au mchana, mpigie nauguliwa pah, 50,000/- tayari kwenye simu, kuna kadaraja hapa kanasumbua wananchi pah, kesho saa ine asubuhi amefika, barabara yetu mbovu sana mara pah, amefika mnajadili kwa ushirikiano na madiwani, infact sikuwahi...
  7. L

    Sikuwahi kumpenda Lusinde lakini kama alifanya vile, alisaidia sana Chama chetu

    Kumbe jamaa aliwahi kuwa mkweli kusimamia utaratibu akatoswa mbaya. Huwa wanasema huyu jamaa sio msomi lakini kwa hilo amekuwa zaidi ya wasomi. Viva Lusinde Viva! Viva Kibajaj Viva!
  8. R

    Sikuwahi kufikiria kuna siku nitaenda kwa "Mganga wa kienyeji" lakini sikuwa na budi kwenda kwajili ya mtoto, chanzo kikiwa mila za mama yake

    Sikuwahi hata siku moja maishani kufikiria kwenda kwa waganga wa kienyeji, NEVER !! ni awatu niliokuwa nawaona hawana hadhi hata theluthi ya mtu kupeleka matatizo yake na waliownda nilikuwa nawashangaa. Fast forward 2020 mtoto alikuwa na matatizo flani ya kiafya, mama yake (mke wangu)...
  9. Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
  10. Q

    Leo hii nakimbia wanawake! Haya ni maajabu, sikuwahi kuwaza

    kweli muda unazungumza aisee kila kitu kipe mda Yaani kipindi nakua nilkua nahangaika na wanawake yaani ndugu yangu mmoja akaniambia utakuja kuwakimbia mweyewe wewe tulia tuu nikawa naona ni ndoto bada ya miaka kupita Leo hii mimi nawakimbia wanawake kweli yaani wapo wengi wanakupa bure...
  11. Tangu nijiunge JamiiForums sikuwahi kuingia MMU

    Sujui sababu ila naogopa kuingia mmu
  12. Wanafiki mnaomlaumu Refa Kayoko wa leo mna uhakika sikuwahi kuwaambia kuwa ni Mwananchi na Tajiri wa Ice Cream naye sasa Anahonga?

    Tatizo lenu baadhi yenu mkanichukulia poa sana hapa JamiiForums ila baadae huwa mnakuja Kunipigia Salute. Hapa hapa JamiiForums mwaka Jana ( 2023 ) nilisema kuwa Mwamuzi ( Referee ) Ramadhan Kayoko ni 100%. Mwananchi. GENTAMYCINE nakumbuka nilienda mbali zaidi na Kuwatahadharisheni mapema tu...
  13. Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

    Wakuu habari za asubuhi? Nafika kazini asubuhi hii, namsalimu jirani yangu ananiambia Tuntufye. Namuuliza hao si wanyakyusa, anasema majina yote ya wanyakyusa yana maana Tuntufye ni - tumsifu😀 Gwamaka- mwenye nguvu Embu wanyakyusa tupeni maana ya majina yenu?
  14. Umewahi kukutana na watu wa ajabu kwenye maisha yako? Walikuwa watu wa aina gani?

    Kulikuwa na mtu huyu, wakati wa kusoma chuo cha ufundi, alikua ni mtu ambaye tulikuwa darasa moja pindi tupo chuo, alikuwa ni mkimya sana na hajawahi kuchangia chochote wala kuzungumza na mtu yeyote darasani. Alikuwa Hana makundi, alikuwa hana ushirikiano, alikuwa hana marafiki. Hakuna mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…