Watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'Mei Mosi' 2025 yenye Kauli mbiu 'Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki'.
Maadhimisho hayo yamefanyika Kimkoa...
Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Mkoani Singida kitaifa, leo tarehe 1 May, 2025.
https://www.youtube.com/live/MHXv41BdFrI?si=s-YLjva6CvZuccs_
Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Wana JF,
Wengi sisi ni wafanyakazi sehemu na idara mbalimbali. Kesho ni siku yetu ya kufurahia na kukumbushia haki zetu.
Kama mfanyakazi ni kitu gani kinakufurahisha kwenye kazi yako.
Kwa mimi ni ile recognition ya msimamizi wangu eneo la kazi.
Je wewe?
Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani,THBUB yatoa tamko
Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025
Tarehe 1 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani. Maadhimisho...
Yeah ni tar 1/05/2025
Kwanza utegemee mabango ya Pongezi na nyimbo za kusifia kwa 100%
Baadae utasikia tumeongeza mishahara, tumelipa madeni na TUTAENDELEA KUBORESHA MASLAHI..
kisha watapiga vigelele siku imepita..
Ukweli wa mambo
Wafanyakazi wana maisha magumu, Hawana nyumba za kuishi (au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.