Wadau naomba ushauri wenu kuhusu hoja husika. Msimamo wa wasabato kanisa katoliki ni alama ya ant Christ kwa mujibu wa the book of revelation.
Sasa inakuwaje kalenda yao wakatoliki na Warumi iwe sahihi na waitumie kujua kuwa Sabato ni siku fulani?
Siku ya sabato mwanzilishi ni mungu mwenyewe kulingana na maandiko, na inatambulika na ushahidi wa maandiko upo.
Dhehebu la usabato mwanzilishi ni Ellen G White halitambuliki na biblia na hakuna kielelezo chochote kuhusiana nalo kwenye biblia zaidi ya maelezo ya kujitegemea ya Ellen G White...
Ni ujumbe kwa kiongozi wetu mpendwa SSH kwamba siku hiyo ibaki kuwa ya ibada kwetu.
Uchaguzi tunashiriki lkn kwa siku ya Sabato inatuwia vigumu kutokana na ratiba za siku hiyo.
Tunakupenda sana.
Dini ya kiyahudi inakataza kufanya kazi siku ya sabato, lakini Zayuni akaamua kabisa siku hiyo ndo akashambulie Irani. Maana yake maofisa wake walifanya kazi siku hiyo ambayo ni kinyume na dini ya kiyahudi.
Cha ajabu operation hiyo wakaiita jina la "Days of Repentance", maana yake ni siku za...
Napenda kuwatakia Maandalizi Mema ya Sabato ya Bwana.
Sabato haikomei kuwa maalumu kwa wanadamu tu bali na kwa wale wafanyao kazi. Siku 6 fanya kazi zako.
Ikiwa hufanyi kazi bila Sababu yoyote iliyo nje na uwezo wako, basi sabato haikuhusu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.