Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dk Emmanuel Nchimbi anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Mazingira Duniani (WED) 2026 akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassani, ambapo kitaifa yanafanyika leo Juni 5, 2026 jijini Dodoma katika...