sifa za mwanamke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baba Kisarii

    Tabia mbaya au nzuri ya mwanamke haitokani na kabila lake, usipotoshwe

    Utasikia wakikuonya.... "usije kuoa mwanamke anayetokea mikoa hii..." 1. Singida. 2. Tanga. 3. Dodoma. 4. Simiyu. Hapo hapo utasikia wakikushauri kwamba.... "jitahidi upate mke atoke mikoa kama; 1. Mwanza 2. Bukoba 3. Kigoma 4. Mbeya Usipotoshwe tafadhali.. Tabia nzuri au mbaya ya...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo Makuu yanayoonyesha aliyembele yako ni mwanamke wa shoka pamoja na Sifa za Mwanamke bora anayejitambua

    MAMBO MAKUU YANAYOONYESHA ALIYEMBELE YAKO NI MWANAMKE WA SHOKA. SUPER WOMAN; SIFA ZA MWANAMKE BORA ANAYEJITAMBUA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli mwanamke Bora,mwema na super woman hutoka kwa MUNGU. Yaani huwezi mpata kwa Njia yoyote bile kupewa na MUNGU. Na hii ndio inafanya...
  3. The redemeer

    Siri 15 ambazo mwanamke hawezi kukuambia kamwe

    1. Ikiwa anakupenda kweli, atafanya mambo kuwa rahisi kwako. Hakuna udhuru, hakuna michezo ya akili - utapatikana. 2. Tayari anajua ikiwa atalala na wewe au la. Acha kufikiria unaweza "kumshawishi"; yeye Aliamua zamani. 3. Anakujaribu bila wewe kujua. Kila mwanamke hutupa vipimo vya hila ili...
Back
Top Bottom