Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
Hawa wachambuzi wako TikTok huko, wakianza kuichambua USA unaweza ukaamini uchumi wa USA ni dhaifu sana na soon mchina ana take over.
Lakini hali ni tofauti kabisa. USA ni watu hatari linapokuja swala la maslahi yao. Wameanza na kumiliki mafuta ya Venezuela ambayo Mchina alikua akiyanunua...
Mahakama ya Katiba nchini Cameroon imemzuia mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa Maurice Kamto kugombea urais dhidi ya Rais Paul Biya, ambaye ana miaka 92 na amekuwa madarakani tangu 1982!
Mahakama imesema Kamto amechelewa kuwasilisha maombi ya kuwania urais kupitia chama kipya cha MANIDEM...
Ndiyo, wanaweza kutuma ndege na kurusha makombora. Lakini si kuthubutu kutuma askari wa ardhini – maana ardhi ya Iran si ramani ya kuchora, ni kaburi la majeshi ya kiburi.
Uvamizi wa Ardhini ni Mtego, si Mafanikio
Marekani na Israel wanajua fika kuwa kuivamia Iran kwa vikosi vya ardhini si...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika Bara lote La Afrika Kwa sasa limebakiwa na Mwanadiplomasia Mmoja tu na pekee mstaafu ambaye ndiye Nguli ,bingwa na bobezi katika siasa za kimataifa na mwenye uwezo wa ushawishi na kushawishi jambo na kukubalika.
Ndiye Mwenye Uwezo , kumbukumbu,maarifa ,ufahamu wa...
Wakuu habar zenu
Nahitaji mtalamu wa kuchambua siasa na habari za kimataifa ili tufanye kazi katika Chaneli ya youtube , malipo ni makubaliano
Sharti awe mkoa wa mbeya
Washington DC
Katika tukio linalotikisa anga za kisiasa na kijeshi za Marekani, uvujaji wa mazungumzo ya siri ya maafisa waandamizi umefichua mjadala wa kina kuhusu mipango ya mashambulizi dhidi ya waasi wa Houthi nchini Yemen. Kisa hiki, kilichobatizwa jina la SignalGate, kimeibua maswali...
Napenda Kuuliza Tumezoea kuona Taasisi kubwa Duniani zikiwa na uongozi kamili kuanzia Ngazi ya juu hadi ngazi ya Mwisho leo napenda kuuliza je Ni nani Mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa
Maana Tumekuwa tukisikia cheo kimoja cha katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.