Jason K. Stearns (born October 31, 1976) is an American writer who worked for ten years in the Congo, including three years during the Second Congo War. He first traveled to the Congo in 2001 to work for a local human rights organization, Héritiers de la Justice, in Bukavu. He went on to work for the United Nations peacekeeping mission (MONUC). In 2008 Stearns was named by the UN Secretary General to lead a special UN investigation into the violence in the country.
Stearns is the author of the book, Dancing in the Glory of Monsters: The Collapse of the Congo and the Great War of Africa, and the blog, Congo Siasa. He received a Ph.D. in political science from Yale University on May 24, 2016.
Mfumo wa siasa Tanzania umekufa rasmi 2025 tuna mfumo wa kipolisi. Mfumo umebaki kwenye vitabu vya sheria ambao hata haufutwi. Kama taifa tuna haya
1. Tufufue mfumo tena
2. Tuweke katiba mpya
3. Kama tunapenda mfumo huu wa Kipolisi ambao sidhani kama watanzania wana utaka basi wekeni...
Wanabodi
Angalieni jinsi Tanzania tunavyo bagazwa kimataifa
Mada hii ni kwa hisani ya wana jf hawa
Na HOUSE OF BLOOD: Gazeti la "The Sun" la Uingereza lilivyomuita Rais Samia mchinjaji na juu ya ukatili uliofanyika kwa raia wake ambapo hapa ndio makala yote iko full
Kitendo cha kutotangazwa...
Mpaka sasa nchi haitawaliki hii alifikiri baada ya uchaguzi hali itakuwa kama alivyoingia hivi sasa hawezi hata kutembea mbele ya jeshi bila woga kama mwanzo anajua wizi alioufanya.
Hali itabadilika zaidi baada ya round ya pili ya #D9 anajifanya hasikii nakwambia masikio yatazibuka. huwezi...
Kutoka mitandaoni,
Baada ya mafisadi kuja na udini gen z sasa wamekuja na dini mpya ya krislam ikimaanisha umoja na mshikamano wa ukristo na uislam kuelekea #D9
Hivi ndivyo tunavyopaswa kuishi.
Miaka ya karibuni, Siasa za Tanzania zimekuwa zikikumbwa na mabadiliko makubwa ya kimtazamo kutokana na mfululizo wa matukio ambayo hayakupata uwajibikaji wa wazi.
Tukio moja baada ya jingine limekuwa likiacha maswali mazito kuhusu uthabiti wa taasisi, usalama wa raia na mustakabali wa...
Shetani mpya ameingia nchini kwa jina la utekaji, akilea kwa kivuli cha “watu wasiojulikana.” Wakati ushahidi ukionekana wazi, vyombo vya dola hubadilisha simulizi na kusema eti ni ukamataji halali, kama ilivyoshuhudiwa kule Tarime wananchi walipoizuia gari. Hili ni jambo hatari sana.
vikundi...
Ndugu Watanzania Hamjambo!
Nimeona watu wakilaumiana na kurushiana maneno.
1. Wengine wanalaumu Jeshi na vyombo vya Dola.
2. Wengine wanalaumu viongozi wa Dini
3. Wengine wanalaumu wasanii na watu mashuhuri
4. Wengine wanalaumu waandishi wa habari na media
5. Ndugu zangu, jukumu la...
Haki huinua taifa
Tanzania sasa imekua moja, wote tunaongea kauli moja, na msimamo ni kumwondoa mtesi. kabla tulikua na matabaka, sasa wote tumefikiwa
Tulisema sana, tukaonekana wajinga, mkuki umegeuka.
Tulikomboe taifa
Miye sijui, walahi. Zamu yenu imefika. Mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu. Mwafanya wenyewe, mkifanyiwa mnapiga nduru. Siye tulizoe kulia, kila siku kuumizwa na kulalamika.
Sasa tunataka zamu yenu ikifika tule kisinia kimoja. Walahi tutaumizana, kwetu haitakuwa mara ya kwanza. Mmetuua...
Katika siku hizi mbili baada ya Mariamu Ditopile kushinda kura za maoni, kumbuka baadhi ya wapiga kura kupinga Ushindi wake ikiwemo shutuma za Rushwa ambazo hazikuchukuliwa hatua, na madai ya chawa wa Kiongozi wa juu. Hii inaonyesha kwamba wanaopitishwa, wanaenda pale Kwa ajili ya maslahi yao na...
Wajomba eeeh unajua harakati ya CHADEMA ya “No Reforms, No Election” ilikuwa ni msimamo mkali wa chama hicho kupinga kushiriki chaguzi bila marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi na sheria zinazosimamia siasa nchini Tanzania. Msimamo huo uliathiri siasa kwa njia kadhaa:
1. Athari kwa...
Sheikh Ponda akizungumza na wananchi mkoa wa Temeke katika mkutano wa ACT Wazalendo amesema kuwa
Viongozi wa dini kushiriki siasa linatafsiriwa kama jambo geni kwa sasa, lakini kiuhalisia siyo geni. Katika Historia ya nchi yetu, chama cha kupigania uhuru kimeanza 1929 cha Africa Association...
Wakuu, kwa hali ya kisiasa ya style hii katika nchi, kuna harufu pengine jeshi lililo upande wa wananchi likaingilia kati, ipo siku tutalala tukiongozwa na Rais tunayemjua tukaamka na mamlaka ya kijeshi kama ilivyo huko 🇧🇫, 🇲🇱 na 🇳🇪.
Serikali na CCM mmepaparuka huko na kusema taarifa ya Gwajima ina walakini, inalenga kuleta chuki kwa serikali, kwamba inabidi serikali iseme upande wake.
Orodha ya Gwajima ndio hiyo orodha ya TLS iliyokuwa na watu 80 waliotekwa/kupotea toka mwaka 2016 mpaka Agosti 2024, kama angechukua na watu...
Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China.
Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa kuwahadaa na kuweka kaubepari kwa mbali kidogo( najua hata wao wanalojua hili).
Nchi ina vyama vya...
Mimi kama stroke.
Nawaeleza tu kwa sauti ya upole wanaharakati wa Kenya.
Hakuna mahali penye ufisadi, mauaji, wizi wa kila namna kama Kenya.
Sioni Justification yeyote ya nyie kuja Kulia lia hapa Tanzania.
Sasa nawaambia hivi??
Malizaneni kwanza nyie kabla ya kuja kwetu kutuletea harufu zenu.
Nimejaribu kumuuliza bwana Google akisaidiana na AI, ili waende wakadukue huko na kule ili tuweze kupata misingi ya Vyama hivi vinasimamia Nini na Best Case Scenario kama wakifanya wanachokisimamia sisi kama Wenye Nchi tungependa / Tunakubaliana na yupi. Ingawa on Paper sioni Tofauti kubwa...
https://youtu.be/eYqrDjwkZ1E?si=IAwIBaBwF_ZH9Mes
Redio DW ya Ujerumani leo mchana imeutangazia ulimwengu kwamba hali ya siasa Tanzania ni mbaya sana.
Akifanyiwa mahojiano mwanasheria na mchambuzi wa siasa Jenerali Ulimwengu amesema hali hiyo imechochewa na kufunguliwa kwa mashitaka ya uhaini...
Sheikh Ponda Issa Ponda amesema hakuna chama cha siasa nchini Tanzania kinachohamasisha vurugu, bali zinaakisi uwepo wa tatizo fulani. Ameeleza kuwa mtu mwenye busara anapobaini dalili za vurugu, anatakiwa kutafuta chanzo cha tatizo hilo ili kusaidia kulitafutia suluhisho.
Kupata matukio na...
Kwakua CHADEMA haiaminiki tena kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, na kwakua chadema ndiyo chama cha siasa Tanazania, kinacho ongoza kwa kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwajili ya viongozi wake waandamizi na matumizi mengine ya ofisi,
Kwa kutumia mifano halisi, elezea faida na umuhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.