siasa na maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Kwanini watu husema siasa siyo maisha yao, lakini kila wakilalamika kuhusu maisha yao, huwa ni mambo ya kisiasa?

    Hii ni hali ya mkinzano (conflict) kati ya kutoelewa kiundani nafasi ya siasa katika maisha, na athari halisi ya siasa katika maisha ya kila siku. Sababu Kuu Kwa Nini Watu Husema “Siasa Siyo Maisha Yao”sababu ya Kutoelewa Siasa kwa Maana Halisi ambayo Wengi hudhani siasa ni Vurugu na mabishano...
  2. Fund man

    Roma mkatoliki Tunga wimbo kufuatia Hali ya siasa na maisha hapa bongo

    Kimepita kitambo Sasa tangu msanii Roma mkatoliki atuburudishe Kwa nyimbo zake za kufikirisha. Kwa Hali ilivyo Sasa nakuomba Roma mkatoliki tia neno juu ya haya yanayo endelea.
  3. L

    SoC04 Punguza Gharama za Uchaguzi, Ongeza Ushiriki: Uchaguzi wa Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu

    Tanzania tuitakayo ni nchi inayoongoza katika demokrasia na utawala bora barani Afrika. Ni nchi ambayo kila raia ana sauti katika kuchagua viongozi wake na kuamua mustakabali wa taifa lake. Ili kufikia Tanzania hii tuitakayo, tunahitaji kuboresha mfumo wetu wa uchaguzi kwa kutumia teknolojia ya...
  4. JF Toons

    Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?

    Maamuzi yote yanayohusu nchi hufanyika chini ya mwamvuli wa siasa, ni muhimu kwa kila raia kujua kinachoendelea ili kupata taarifa sahihi zitakazomuwezesha kufanya maamuzi sahihi pale anapochagua kiongozi. Masuala ya kisiasa yana nafasi gani katika maisha yako?
Back
Top Bottom