siasa mchezo mchafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    Nawakumbusha tu siasa ni siasa. Mnamkumbuka huyu mzee, mbunge wa Makambako?

    Siasa sio mchezo mchafu ila wanasiasa ndio wachafu, dhahabu kuipakaza matope haipotezi thamani yake ila itakua na muonekano mbaya. Mnamkumbuka huyu mzee Deo Sanga, mbunge wa jimbo la Makambako? Soma pia: Vyama vya Siasa havitoi Ahadi ya Uzima wa Milele uliotolewa na Agano la Yesu Kristo kwa...
  2. 1Africa54

    Hizi trends za Polepole zipo ili kuwasahaulisha watanzania. Siasa mchezo mchafu

    Upo msemo maarufu unaosema “Siasa ni mchezo mchafu,” lakini kwa wengi, huu si msemo tu bali ni uhalisia unaoonekana kila siku. Katika mazingira ya sasa, kuna hali inayozua maswali mengi kuhusu namna mitindo ya maisha, burudani, na “trends” zinavyotumika kama zana za kuwafanya wananchi wasahau...
  3. O

    Siasa mchezo mchafu

    Kwa upande wangu mimi uwa namkubali sana mheshimiwa waziri wa madini nikiamini ni kijana mwenye uwezo mzuri sana wa kuongoza. Hata juzi nikiwa naangalia ufunguzi wa ofisi ya wizara nlipenda alivyoongea sasa leo nmeona kama kituko aiseee habari ya Milard Ayo...
  4. Nyanda Banka

    Siasa ni mchezo mchafu

    Siasa ni nzuri halafu ni mbaya pia ebu imagine unachafuliwa kwa kitu kidogo ambacho labda hakipo kwenye siasa, mfano kupitia familia yako, mavazi yako au tembea yako Wahenga wanasema siasa inaweza kukupandisha muda mfupi na pia ikakushusha muda mfupi Akili kichwani mwako
  5. michael masala

    SoC04 Je, kama siasa ni mchezo kwanini unaendesha taifa?

    JE SIASA MCHEZO MCHAFU? 1. Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi 2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais 3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu 4. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri 5. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Mkuu wa majeshi, Mkuu wa Jeshi la...
Back
Top Bottom