shirikisho

The Shirikisho Party of Kenya is a political party in Kenya. (Shirikisho means Union or Federation in Swahili). The party was formed in 1997 and had some political influence in the Coast Region. At the last legislative elections, 27 December 2002, the party won 1 out of 212 elected seats.
At the Kenyan general election, 2007, Shirikisho was part of the newly created alliance Party of National Unity led by President Mwai Kibaki but failed even to clinch a single seat in parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Astrology/Unajimu kuelekea Fainali ya Shirikisho Caf, Berkane atashinda mechi ya kwanza ila ya Pili kama ikichezwa saa kumi Simba ita Draw

    Habarini, viongozi wa Simba chukueni huu ushauri msiupuuzie Mechi ya jumamosi Tarehe 17 Berkane atashinda, ila mechi ya pili iliyokuwa imepangwa kuchezwa Dar es salaam majira ya saa kumi ilikuwa lazima Simba ita Draw hata pia ikichezwa Zanzibar kwa majira hayo hayo ya saa kumi pia Simba ita...
  2. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Final kombe la Shirikisho

    Hizi hapa takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Fainal ya kwanza hapo Jumapili. Kubwa la kuzingatia ni kuwa Berkane kafungwa mchezo mmoja tu na kuruhusu magoli mawili tu msimu huu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho.
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la Soka Kenya lahairisha Deby ya Mashemeji.

    Shirikisho la soka nchini Kenya (FKF) siku ya Ijumaa limetangaza kuahirisha mechi ya Ligi Kuu nchini humo "Mashemeji Derby" baina ya Gor Mahia na AFC Leopards ambayo iliratibiwa kuchezwa Jumapili, Mei 11, 2025. Kupitia taarifa iliyotolewa na shirikisho hilo ilieleza kuwa uamuzi huo umefanyika...
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mkubwa atabaki mkubwa, Yanga alishacheza fainali shirikisho, Siku zote Yanga anaanza wengine wanafuatia.

    Siku zote mkubwa ni mkubwa tu, Yanga alicheza fainali ya haya mashindano wala hapakuwa na kelele, Ila sasa kelele zimekuwa nyingi kila kona! Shida inaweza kuwa ugeni, ushamba au nini wakuu?
  5. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kisasi cha Simba kutolewa na Stellen Abidjan ya Ivory Coast mwaka 1993 kwenye fainali ya shirikisho

    Hapo vip!! Hii ndio muda wa Simba kulipa kisasi kwa mdogo mtu na wajina mtu Stellen bosch tarehe 20.04.2025. Hawa wakina stellen,wanataka kumzoea Simba vibaya hasa hasa kwenye hizi hatua nyeti. Tukumbuke kombe la shirikisho kipindi hicho ilikuwa na majina tofauti tofauti kwa kila msimu...
  6. Ngonidema

    JamiiForums Tanzania Simba ataingia fainal na kuchukua kombe la shirikisho

    Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba malizeni fungate yenu ya kusherehekea semi final ya shirikisho mje kuzipa gap la points 10

    Mashabiki na Wanachama huwambii kitu baada ya kufuzu semi final huko shirikisho yaani UMISETA au netball au mashindano ya akina mama kama alivosema Kaduguda Leo young Africans amemfunga Azam na kuongeza gap la points 10 Kumbuka Azam na Yanga ndo wababe maana wamecheza CAFCL msimu huu ila...
  8. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Simba anakwenda kuvunja rekodi walioshindwa yanga kwa kutwaa ubingwa shirikisho yanga hajawahi vuka hatua ya makundi Champion ligi.

    Yanga alicheza fainali kama best looser kutoka mechi za champion hakupambana tangu awali na huko pia alibebwa na simba baada ya kufanya vizuri na nchi kuongezewa washiriki..Simba anakwenda kucheza fainali kwa kuipambania wenyewe na kulitwaa kombe na kuivunja rekodi ya yanga ya kufika fainali na...
  9. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Timu mbili kutoka Kundi A katika Kombe la Shirikisho zatinga nusu fainali

    Hakika Kundi A la Kombe la Shirikisho ndio kundi lililokuwa na timu ngumu na imara. Timu mbili kutoka kundi hilo, Simba ya Tanzania na Costantine ya Algeria zote zimetinga hatua ya nusu fainali. Na kuna uwezekano zikakutana zenyewe tena kwenye fainali kama watashinda mechi zao za nusu fainali...
  10. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania GSM anaharibu kombe la Shirikisho

    Mnakumbuka alikuwa mdhamini wa timu zote mwaka juzi, Yanga ikafika fainali kwa kubebwa na ma arajiga wa CAF. Mwaka huu kaidhamini Al Masry ili itukwamishe. Kamara kapewa hela pia. Mimi ni mzee wa Simba.
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Tabora United vs Young Africans inazungumziwa kuliko mechi ya Shirikisho

    Mitandaoni na kwenye media mechi kubwa ni Tabora United vs Young Africans ambayo itafanyika tarehe 2 April uwanja wa Ali Hasan Mwinyi TABORA, mechi ya UMISETA au shirikisho Watanzania hawana habari nayo Haya mashindano ya shirikisho ni sawa na mashindano ya shule yaani UMISETA au Yale ya golf...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PICHA: Kipa wa Simba, Aishi Manula arejea kikosini. Afanya mazoezi kuelekea mechi ya Shirikisho

    Air Manula mazoezini kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho la CRDB Machi 27 na Big Man FC (zamani Mwadui FC). Mechi hiyo ya Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa KMC Stadium majira ya saa 10:00 Jioni kukipiga na Bigman.
  13. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Wakati Simba inaelekea kucheza robo final shirikisho tujikumbushe,Simba ndio timu ya kwanza Tanzania kucheza final za CAF shirikisho mwaka 1993

    Hapo vip!! Sina mengi ila kabla hizi takxtaka zingine hazijafika mbali..wajue Simba ndio timu ya kwanza Tanzania,Afrika mashariki na kati kucheza final za kombe la shirikisho mwaka 1993. Sasa ipo hivi kipindi hicho kombe la shirikisho lilikuwa na majina tafouti tofauti kulingana na udhamini...
  14. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kocha Himdi Maloud anaweza kuwa jasusi wa soka aliyekuja kuimaliza Yanga, afukuzwe mapema

    Habari wakuu Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa Mwanzo wa msimu niliandika huu uzi kuhusu JKT Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Azam FC yaiokoa Simba na mashindano ya Shirikisho

    Leo Azam fc- imekubali kipigo kutoka Kwa Pamba Jiji Hiki kipigo kinamaanisha kuwa ametoa nafasi ya Simba kushika nafasi ya pili Kwa maana hiyo Simba hatacheza tena shirikisho msimu ujao Karibu tena Simba CAFCL tokeni huko shirikisho kwenye mashindano ya akina mama
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Simba, Yanga, Azam Kome la Shirikisho la CRDB wawekwa wazi

    Droo ya hatua ya 32 Bora ya kombe la Shirikisho la CRDB (CRDB FEDERATION CUP) imewekwa wazi ambapo Mabingwa watetezi, Yanga Sc wamepangwa dhidi ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union kwenye 32 Bora huku Simba Sc ikipangwa dhidi ya TMA Stars ya championship, huku Azam FC watacheza dhidi ya Mbeya City...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mpango wao Utopolo sio huo tu wameshajipanga kutuangamiza kombe la Shirikisho ili tufanane, msiseme sikuwaambia

    Kikosi kazi cha Utopolo bado kinaendelea kuhakikisha kuwa umoja unapungua ama kufa kabisa ili tuanze kucharurana na hatimaye mwezi Machi washushe maangamizi mengine kwetu, sasa hivi kikosi chao kinasubiri kujua nani amepangiwa kucheza na simba hatua ya robo ili wamalize shughuli kwa kushirikiana...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la Soka la Kongo (FECOFOOT) lafungiwa na FIFA, wapoteza haki zake zote za uanachama

    Shirikisho la Soka la Kongo (FECOFOOT) limefungiwa na FIFA kuanzia Februari 6, 2025, hadi itakapotangazwa tena, huku sababu za uamuzi huo zikiwa bado hazijawekwa wazi. Kufuatia kusimamishwa huko, FECOFOOT itapoteza haki zake zote za uanachama kwa mujibu wa Kifungu cha 13 cha Sheria za FIFA, na...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Rais na msemaji wa Yanga wapo Morocco, waliofuzu shirikisho wapo Mbarahati

    Hii ndo tofauti ya CAFCL na shirikisho Timu ikicheza Club bingwa CAFCL itaalikwa kwenye majukwaa makubwa ya kimpira Viongozi wa timu za shirikisho hawawezi kusimama kwenye majukwaa makubwa, Soma Pia: Hafla ya upangaji wa Makundi AFCON 2025, Tanzania tutapangwa na nani? Viongozi wa Simba wapo...
  20. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Kocha Yanga azungumzia Maandalizi kombe la Shirikisho

    Kocha wa yanga Side azungumzia jinsi walivyojipanga kuzichabanga teams nyenzao itakazokutana nazo katika Kombe la Shirikisho la CRDB. Kocha amezungumzia umuhimu mkubwa wa kombe hilo na jinsi walivyojipanga kuhakikisha wanalibeba au kufika fainali. Side ameonekana kuungwa mkono na wanayanga...
Back
Top Bottom