shirikisho la riadha tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melubo Letema

    Ndaweka awekwa pembeni RT Ubadhirifu wa fedha Dola 55,000 za kimarekani

    Makamu wa rais RT asimamishwa uongozi mara moja kupisha uchunguzi wa ubadhifu wa fedha za shirikisho hilo. Dola elfu 55 (55,000) za kimarekani. Jamaa amekula zaidi milioni 130 zilizotumwa na shirikisho la riadha la dunia (WA).
  2. Melubo Letema

    Rogath John Stephen Akhwari Rais Mpya RT

    Kocha Rogath John Stephen Akhwari Ashinda urais wa shirikisho la riadha Tanzania -RT kwa kura 27 na kumbwaga mpinzani wake Nsolo Malongo Mlozi aliyepata kura 20. Mpinzani wake baada ya kushindwa aliandika hivi kwenye mitandao ya kijamii " Kura hazikutosha kushinda, nimeshika nafasi ya 2 (kura...
  3. Melubo Letema

    Kesho uchaguzi rasmi wa RT Mwanza

    Shirikisho la riadha Tanzania -RT kesho linatarajia kufanya uchaguzi wao mkuu wa viongozi mbalimbali, ikiwemo rais na makamu wake; nafasi ya uwakilishi wanawake na nafasi ya ujumbe kwenye kamati ya utendaji. Nafasi ya katibu hakuna kwenya uchaguzi huu , bali itakuwa ni ya kuajiriwa; watu...
  4. JanguKamaJangu

    Wagombea 20 wajitosa Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania

    WAKATI zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu kwa wagombea wa katika uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania (SRT), likifungwa rasmi Julai 18 saa 10:00 jioni, jumla ya wagombea 20 wamejitosa kuwania nafasi mbalimbali. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Julai 21, Mwenyekiti...
  5. Melubo Letema

    Mtoto wa John Stephen Akhwari ajitosa urais RT

    Mtoto wa mzalendo wa mchezo wa riadha mzee John Stephen Akhwari aitwaye Rogath John Stephen ajitosa kuwania urais wa shirikisho la riadha Taifa (RT), ni kocha wa riadha wa jeshi la polisi kwa mkoa wa Arusha. Mzee John stephen akhwari ni nani? ni yule mzalendo wa Tanzania aliyekimbia mbio za...
  6. Melubo Letema

    Mnaotaka U Rais shirikisho la Riadha Tanzania, Uchaguzi ni Agosti 16 2025.

    Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa shirikisho la riadha Tanzania ~RT Bw. Leornard Thadeo ametangaza uchaguzi wa rais na wajumbe kufanyika tarehe 16:08:2025 katika hoteli ya Aden Palace, Jijini Mwanza. Aidha ametaja nafasi zinazogombewa ni rais wa shirikisho Nafasi (1) , makamu wa rais wa...
  7. Melubo Letema

    Simbu kutimua vumbi na Wakenya na Waethopia Boston Marathon 2025 kesho

    baada ya simba kushinda moja ziro, sasa macho na masikio ni kwenye mbio za 127 za boston marathon 42K huko marekani kesho tarehe 21 aprili 2025. Simbu ni mwanariadha wa kimataifa mwenye sifa ya kutokata tamaa, mzalendo , nidhamu na hari na mchezo wake; hivyo matumaini ni makubwa ya kushinda...
  8. Melubo Letema

    Gabriel Geay achukua nafasi ya tatu Marekani leo

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya Houston Half Marathon kwa kilomita 21 (21K) huko Texas, Marekani kwa muda wa dakika 59:18 muda wake bora na kwa taifa pia
  9. Melubo Letema

    Wanariadha wasusia Karatu Festivals baada ya Henry Tandau kumuita Alphonce Simbu Msaliti

    Baadhi ya wanariadha wakubwa wa Tanzania wasusia mashindano ya karatu festivals yanayoandaliwa na kamati ya olimipiki Tanzania (TOC) ikiwa ni baada ya makamu wa rais wa TOC Henry Tandau kumkata jina kwenye uchaguzi wa kamisheni ya wachezaji na kumuita muasi/msaliti kwa kuhamasisha wenzake kuvaa...
  10. Melubo Letema

    Kamati ya Olimpiki (TOC) wamuita Alphonce Simbu MUASI, kisa Mavazi ya mbio za Olimpiki Paris, Ufaransa

    Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa mstari wa mbele kuhamasisha na kukuza Michezo Tanzania ukiwemo wa riadha , ila kuna Vizee vilivyopo kwenye Kamati ya Olimpiki Tanzania (Tanzania Olimpic Committee ~ TOC) vinaendekeza hila na uzandiki wa kufikia kumuita mwanariadha wa kimataifa...
  11. Melubo Letema

    Mwanariadha Magdalena Shauri Ashinda medali ya Dhahabu Shenzhen Marathon, China

    Mwanariadha wa kimaraifa Magdalena Crispin Shauri ameshinda medali ya DHAHABU 🥇 kwenye mbio za Shenzhen Marathon 2024 kwa muda wa saa mbili, dakika ishirini na tisa na sekunde thelathini (2:29:30) huko China leo 01/12/2024. Magdalena ni mwanariadha kutoka jeshi la JWTZ na ni wiki moja tu...
  12. Melubo Letema

    Mwanariadha Simbu aweka muda bora 2:04:38 Valencia Marathon 2024

    Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi 4 kwa muda wa saa mbili , dakika 4 na sekunde thelathini na nane ( 2:04:38 PB) na kuweka muda bora zaidi ya uliopita wa (2:05:39 huko China) kwenye mbio za Valencia Marathon 2024 huko Valencia, Uhispania. Mashindano hayo yamefanyika...
  13. Melubo Letema

    Ushauri : mashindano ya Ladies First yaitwe Theresia Dismas

    Kwa kuwa mwanamama Theresia Dismas ndiye mtanzania wa kwanza kuiletea Tanzania medali ya Fedha kwa mchezo wa kurusha Mkuki mwaka 1965 kwenye mashindano ya All African Games yaliyofanyika Brazaville Kongo, ni wakati sasa; Kanali Juma ikangaa, BMT na JICA kubadilisha jina la "Ladies First " na...
  14. Melubo Letema

    Simbu kujitosa mbio za Delhi Half Marathon 2024 huko India leo

    Mwanariadha kutoka tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kushindana na manguli wenzake kama Joshua Cheptegei wa Uganda kwenye mbio za delhi half Marathon mapema leo jumapili tarehe 20/10/2024 huko New Delhi, nchini India.
  15. Melubo Letema

    POSSO Yatangaza neema kwa wanariadha Tanzania

    Kutoka kushoto ni Suleiman Nyambui, Luis Posso(Posso International Promotions) , Mao Hando , Zakarie Barie , Yuich Isaka (Asics) na Mwanariadha Gabriel Gerald Geay. Kampuni ya Posso International Promotions yenye Makao Makuu yake nchini Marekani imetangaza neema kwa wanariadha wa Kitanzania...
  16. Melubo Letema

    Wilhelm Francis Gidabuday Kuzikwa Jumamosi Manyara

    Ndugu Wilhelm Francis Gidabuday atazikwa jumamosi 14:00:2024 katika kijiji cha Endamang, Nangwa , Hanang Mkoani Manyara. Gidabuday amefariki akiwa na miaka 50, siku chache kabla ya kumkumbu ya siku yake ya kuzaliwa 19/09/1974, akiwa ni mtoto wa kwanza wa mzee Francis Gidabuday, akiwaacha wadogo...
  17. Melubo Letema

    Paris Olympics 2024: Tuzingatie Vigezo vya Kufuzu Michezo ya Olimpiki na Michezo inayochezwa huko

    Michezo ya Olimpiki inasimamiwa na kuratibiwa na kamati ya olimpiki duniani (IOC) kwa ajili ya kusaidia michezo mbalimbali kwenye nchi nyingi Duniani. Kuna michezo ya kuruka au miruko mbalimbali , kukimbia uwanjani na Barabarani , kutembea , Kurusha Tufe, Kurusha Mkuki , kurusha kisahani...
  18. Melubo Letema

    Timu ya Taifa ya Riadha Olimpiki yatua Dar, kesho kupaa Paris, Ufaransa

    Pichani : Kutoka kushoto ni Magdalena Shauri, Gabriel Gerald Geay , Jackline Sakilu na mwisho ni Nahodha Alphonce Felix Simbu. TIMU ya Taifa ya Riadha itakayoiwakilisha Tanzania katika michezo ya Olimpiki Paris 2024, imewasili jijini Dar es Salaam leo Agosti 6 ikitokea kambini jijini Arusha...
  19. Melubo Letema

    Kamati ya Olimpiki Yasusia Jezi za Shirikisho la Riadha ~ RT

    Kutoka kushoto ni Gabriel Gerald Geay, Jackline Juma Sakilu , Alphonce Felix Simbu na Magdalena Shauri wakifanya mazoezi mepesi ya kujiandaa kwenda Kwenye mashindano ya Olimpiki Huko Paris, Ufaransa. Jezi zilizotolewa na kampuni ya Xtep iliyopo China ili Timu zinazokwenda Olimpiki zivae ( Xtep...
  20. Melubo Letema

    Timu ya Tanzania Itakayoshiriki Michuano ya Olimpiki kuagwa na Kukabidhiwa Bendera leo

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa naMichezo Dkt. Suleiman Selela atakabidhi bendera na kuiaga timu ya Taifa itakayoshirikikatika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto inayoanzasiku ya Ijumaa Julai 26 hadi Jumapili Agosti 11, 2024 jijiniParis na miji mingine 16 nchini Ufaransa...
Back
Top Bottom