Ni vuta ni kuvute kati ya wananchi wa Kata ya Buhanda, Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma, na Shirika la Reli Tanzania (TRC), baada ya baadhi ya wananchi kukataa kusaini tathmini ya fidia kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa-SGR kipande cha sita, Tabora -Kigoma.
Wananchi...