shimiwi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ardhi Sports yang’ara SHIMIWI, yatwaa vikombe vinne

    Timu ya Ardhi Sports imefanya vizuri katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali (SHIMIWI) 2026 kwa kutwaa vikombe vinne, ikiwemo ubingwa wa mpira wa miguu na mchezo wa Darts. Mashindano hayo yaliyoshirikisha watumishi kutoka Wizara, Idara na Taasisi...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yatwaa ubingwa wa Darts Shimiwi 2026

    KILIMANJARO Timu ya mchezo wa Darts ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeibuka mshindi wa kwanza katika mashindano ya SHIMIWI 2026 yanayoendelea mkoani Kilimanjaro, baada ya kuifunga timu ya Wizara ya Maji kwa jumla ya pointi 5–3 katika mchezo wa fainali. Mchezo huo wa fainali...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ardhi Sports Club yashiriki ufunguzi wa Michezo ya 40 ya SHIMIWI Kilimanjaro

    Timu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi (Sports Club) imeshiriki ufunguzi rasmi wa Michezo ya 40 ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ulioambatana na maandamano ya wanamichezo wote wanaoshiriki michuano hiyo mkoani Kilimanjaro. Maandamano ya...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa jadi ardhi sports watakiwa kujiamini katika mashindano ya Shimiwi 2026

    Mwenyekiti wa Ardhi Sports Club, Bw. Swagile Msananga, amewataka wanamichezo wa Michezo ya Jadi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kutumia ujuzi walioupata, kucheza kwa utulivu na kujiamini katika Mashindano ya SHIMIWI 2026, akisisitiza umuhimu wa kila mchezaji kutambua uwezo wake...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Timu za wizara ya Ardhi zaanza kwa ushindi SHIMIWI 2026

    Timu za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi zimeanza kwa kishindo katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa ushindi katika michezo mitatu kwenye mashindano hayo yanayoendelea mkoani Kilimanjaro. Mafanikio hayo yamekuja kufuatia ziara ya...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ardhi FC yaianza shimiwi kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ras Lindi

    KILIMANJARO Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Ardhi, Nyunba na Maendeleo ya Makazi (Ardhi Fc) imeanza vyema Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ras Lindi katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wanamichezo Ardhi sports watakiwa kuzingatia nidhamu, kuipigania Wizara SHIMIWI

    Wanamichezo wanaoshiriki Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara na Taasisi za Serikali nchini (SHIMIWI) 2026 inayotarajiwa kufanyika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kuzingatia nidhamu, uwajibikaji na maadili ya Utumishi wa Umma kipindi chote cha mashindano. Hayo yamesemwa na...
Back
Top Bottom