Kumekuwa na changamoto kubwa ya maji mkoa wa Mwanza haswa wilaya za Nyamagana na Ilemela. Baadhi ya maeneo hayajapata maji kwa wiki mbili na mamlaka kupitia idara yao ya huduma kwa wateja zinasema kuna upungufu wa umeme kwenye vituo vya uzalishaji na usambazaji wa maji.
Kwapicha halisi ya...
Naomba kuwasilisha kilio cha wananchi wa Mtaa wa PPF, Kata ya Kiseke ndani ya Manispaa ya Ilemela kuhusu tatizo kubwa la ukosefu wa maji ambalo limekuwa likiendelea kwa muda mrefu sasa.
Kwa sasa eneo hili hupata maji mara moja tu kwa wiki, mara nyingi siku ya Jumatano pekee. Wakati mwingine...
Anonymous
Thread
kukatika majimwanzashidayamajimwanza
uhaba wa maji
Ziwa lipo jirani ila Wananchi wa Nyashishi na Usagara (Mwanza) hatujawahi kuwa na maji ya bomba
Wananchi wa Nyashishi na Usagara Mwanza tangu Dunia iumbwe maeneo hayo hayajawahi kuwa na bomba la maji ilihali Ziwa Victoria liko jirani!
Maji tunayotumia sasa tunachimba visima tu na ni maji...
Hellow jamii,
Kata ya Nyamhongolo Mkoa wa Mwanza Jiji la Ilemela hatuna maji wiki sasa na wakati Ziwa Victoria liko hapa hapa Mwanza, hii ni aibu.
Pia soma: MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma Uzalishaji na Usambazaji wa Maji Mwanza imetokana na hitilafu ya umeme
Jiji la Mwanza lina kumbwa na Changamoto ya mgao mkali wa Maji.
Huwezi kuamini Tz ni nchi ya aina gani? Na hali ya kushangaza Jii lililo mita 60 kutoka ukingo wa Ziwa Victoria Pande zote iwe Ilemela au Nyamagana. Mfano kituo cha Kliniki, Igombe, Sweya, Mkuyuni, Voil, Mswahili, Luchelele...
Maji huku Mwanza imekuwa ni kero kubwa sana, wanachuo tunaishi kwa tabu sana tunapata shida kubwa ya maji ilihal tuko karibu na ziwa Victoria
Sijui mnatusaidiaje kuepukana na hili. Tunalipia bili za maji kwa wakati lakini bado maji kuyapata ni changamoto.
Ni siku ya 4 sasa maji hayatoki
Malimbe asilimia kubwa ya wakazi ni wanafunzi wa chuo cha SAUT kwa asilimia 75 haichukui zaidi ya KM 10 kwa mkazi yeyote wa malimbe kufikia ziwa victoria lakini changamoto ya maji ni kubwa sana inafikia zaidi ya siku 4 mpaka 5 maji hayatoki.
Tunaoba mlifanyie kazi hili tunaishi kwa taabu sana.
Wakazi wa mwanza, wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa maji yamekuwa ni changamoto sana, tuna wiki ya pili hatuna maji na kila mara hii hali hujirudia rudia.
Tushalifikisha mpaka kwa mwenyekiti lakini jambo limekuwa kizungumkuti.
Hii changamoto utatatuliwa lini?
Pia soma
KERO - Tatizo sugu...
Anonymous
Thread
maji nyamagana
shidayamajimwanza
usugu wa maji buhongwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.