Nurdin Bilal Ali (born July 16, 1990), better known by his stage name SHETTA, is a musician in Tanzania, with a number of his songs having reached peak positions on various music charts in the country and across the African continent. His single "Namjua" dominated several charts at peak position for several weeks in a row in 2016. The song's video had one million views on YouTube as of 2016.
Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji.
Shetta alipata jumla ya kura 48 za ndiyo kati...
Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumpata mgombea wa Umeya wa Jiji la Dar es Salaam umeingia katika sura mpya baada ya matokeo kumuibua Nurdin Juma (Shetta) kuwa mshindi.
Katika uchaguzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Wilaya ya Ilala, Diwani wa Mchikichini...
Wanaosema wasanii wanaingia kwenye siasa ili kunufaika ni mtazamo tofauti kanuni na katiba ya Chama cha Mapinduzi CCM ikiwa ni mwanachama ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwahiyo mtu yoyote ana haki hiyo.
"Na sisi tumekuwa kama kundi la wasanii na watu maarufu wengi tumekuwa wanachama na...
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es salaam imemteua Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya na Mwanachama wa Chama hicho, Nurdin Bilal Juma (Shetta) kugombea Udiwani Kata ya Mchikichini Wilaya ya Ilala
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Ally Bananga...
Nurdin Bilal Juma maarufu kama Shetta, Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameibuka mshindi katika kura za maoni za chama hicho kwa nafasi ya udiwani Kata ya Mchikichini, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam.
Ushindi huo unamuweka Shetta katika nafasi...
Wakuu,
Wakati mwanaye akiendeleza harakati pale Chipukizi, baba mtu naye amaeamua kujitosa udiwani kata ya Mchikichini, Dar es salaa.
===
Nurdin Bilal Ally Juma alimaarufu kama Shetta amechukua Fomu ya Kutia Nia ya kugombea Udiwani kata ya Mchikichini - Ilala Jijini Dar Es salaam.
Hapa Shetta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.