sheria

  1. JamiiForums Tanzania Sheria gani ya shule ambayo ilikuwa lazima uivunje

    Shule tulizosoma zilikuwa na sheria na kanuni zake Binafsi shule niliyosoma pamoja nilikuwa mwanafunzi mtiifu ila sheria zifuatazo zilinishinda 1. Kufika shule siku ya kufungua shule Hapa ilikuwa lazima nivute nifike baada ya wiki 1 au 2 2. Kutochomekea shati Hapa hata ungeniua nisingeweza...
  2. JamiiForums Tanzania Sheria hapa ikoje...

    Ndugu wana body,habari za sahizi,na poleni kwa majukumu.nina issue nataka kijua sheria hapa ikoje!je unaweza kustaki kampuni?mfano umeomba kazi katika kampuni x,miaka kazaa ilio pita,ukakosa.ila miaka kaza unaona barua yako ya ajira ulioomba,inazagaa mitaani tena inafungiwa mandazi,je unaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa sheria na kanuni za virutubishi katika vyakula na madini

    Naibu Waziri Wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amezindua sheria na kanuni za urutubishaji wa chakula ya mwaka 2024 ambao umefanyika katika ukumbi wa chandamali manispaa ya songea. Katika uzinduzi huo umelenga kuongeza virutubisho muhimu kwa kuimarisha afya na kupunguza...
  4. JamiiForums Tanzania Maswali kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Kuhusu Sheria ya kuanza kwa utaratibu wa vitinmaalum CCM 2030

    Swali la Kwanza Kuna wabunge wa viti maalum waliokuwa madarakani kuanzia mwaka 2020 hadi 2025, na sasa wanatarajia kugombea tena. Ikiwa watashinda, watakuwa madarakani hadi mwaka 2030. Swali langu ni: Je, hawa wabunge wakichukua fomu kuomba kugombea mwaka 2030, watakuwa wanakubali sheria mpya...
  5. JamiiForums Tanzania sheria ya kuwapa diaspora hadhi maalumu ilipita?

    Naomba kuuliza iwapo sheria ya kuwapa hadhi maalumu,watanzania waliochukua uraia nchi za nje.Nauliza maana baadhi ya ndugu zangu wali hukua uraia wa canada,uingereza na ujerumani,sasa wanataka kuja kuwekeza.Nitashukuru nikipata malezo ya kina
  6. JamiiForums Tanzania Sheria ya uvutaji sigara hadharani Tanzania kwanini imepuuzwa?

    Heri ya sikukuu wakuu,naona kimya kila mtu kimyaaa.ila hata kama maisha magumu jamani pilau sio kitu cha kumnyima mtu Tuende kwenye mada Jamani hii nchi Uhuru umezidi.yaani watu wanavuta sigara barabarani ,kwenye misongamano tena mbele ya polisi. Watanzania sisi sijui ni upole au nini yaani...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Tumeshafanya mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi, CHADEMA hawawezi zuia uchaguzi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo hakina hoja ya msingi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu kwani kama ni mabadiliko wanayoyazungumza yameshafika tayari. Amesema CHADEMA wao wanasema hawataki uchaguzi mpaka yafanyike mabadiliko...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali na CCM Iviaibishe Vyama Vya Upinzani Kwa Kufanya Mabadiliko Ya Msingi Kwenye Sheria Za Uchaguzi, Kama Huwa Inashinda Kwa Haki.

    CHADEMA katika kampeni yake ya NO REFORM NO ELECTION, haitafuti upendeleo bali inatafuta haki na ulinzi wa thamani ya kura. Hivi CCM kama huwa inashinda kwa haki, si ndiyo ungekuwa muda sahihi kukubali mapendekezo yote yatakayoufanya mchakato wa uchaguzi kuwa huru, wa haki na wa uwazi ili...
  9. JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania, Uganda na Kenya zinapoteza hadi dola bilioni 5 kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja

    Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja. Ripoti hiyo ya shirika la hisani la Open for Business la...
  10. JamiiForums Tanzania Niger: Abdourahamane Tchiani aapishwa kuwa Rais wa mpito chini ya sheria mpya

    Kiongozi wa kijeshi wa Niger, Abdourahamane Tchiani, Jumatano ameapishwa kama rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha mpito cha miaka mitano chini ya katiba mpya ambayo inachukua nafasi ya katiba ya taifa hilo la Afrika Magharibi. Hatua hiyo ilipinga vilivyo majaribio ya kambi ya kikanda...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ipitie upya Sheria zinazosimamia elimu za msingi na secondary na waalimu kwa ujumla ili kuokoa uhai wa wanafunzi

    Kutokana changamoto zinazojitokeza katika usimamizi wa elimu katika shule za msingi na secondary hapa Tanzania wanafunzi wengi wamekuwa wahanga wakubwa wa vifo na ulemavu wa kudumu kunakosababishwa na waalimu wengi kutumia Nguvu kubwa kupitia kiasi wanapokuwa wanashughulikia masuala ya kinidhamu...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi 9 kufikishwa Baraza la Maadili kwa tuhuma za kukiuka Sheria ya Maadili, kuna DC, Hakimu & Meneja TANESCO

    SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kutekeleza Sheria ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mary Joseph: Kuwa CCM siyo kigezo cha kuvunja sheria

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na mshikamano. Mary ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 alipokuwa akizungumza na vijana katika Wilaya ya...
  14. JamiiForums Tanzania Israel na ukiukaji wa sheria za vita: Kwa nini hakuna nchi inayochukua hatua?

    1. UTANGULIZI Sheria za vita, zinazojulikana kama International Humanitarian Law (IHL), ni kanuni zinazodhibiti mwenendo wa vita na migogoro ya silaha ili kulinda raia na wahanga wa vita. Sheria hizi zinajumuisha Mikataba ya Geneva ya 1949, Itifaki zake za Ziada, na maazimio ya Umoja wa Mataifa...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa TFF hawajui sheria za Mpira na sheria at all the same Kwa Watanzania wote

    Watu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani. Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over... Mjue Nini Mimi nimesoma sheria na Kuna Mwalimu wakat ananifundisha Criminal aliwahi sema, kusema umefanyiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Swali kwa Waziri wa Katiba na Sheria: Nani amechakachua ibara ya 3(1) ya Katiba ya Kiswahili ya Tanzania ya 1977?

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro Mheshimiwa Waziri, Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao za kidini. Nataka kulipinga ombi hili kwa kutumia hoja inayosindikizwa na ushahidi usiokanushika...
  17. JamiiForums Tanzania Somalia sheria ya kifo kwa wahalifu na magaidi imesaidia kuituliza somalia

    Somalia imepitia kipindi kigumu sana tokea kufa kwa serikali ya mwanzoni. Ila kwa sheria ambazo wameweka ya kifo naona hata wale al shabab wenyewe wamekuwa kimya sana wakijua hakuna mabikira tena. Somalia baada ya miaka ya mbeleni itakuwa imetulia na kuwa nchi salama sana
  18. JamiiForums Tanzania Sheria taaluma inayodharaulika sana Tanzania lakini marais 27 kati ya 43 wa marekani waliwahi kuwa wanasheria

    Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana. Mwanasheria anaonekana kama dalali tu. Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria. Marekani pekee kati ya marais 44 waliokuwa nao, 27 waliwahi kuwa wanasheria. Taifa lenye uchumi mkubwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Watuhumiwa wawili wa wizi kuuliwa na Wananchi, Polisi Arusha yawaonya wanaojichukulia sheria Mkononi

    Jeshi la Polisi Mkoa watu Arusha limesema kuwa tarehe 13, machi,2025 muda wa saa 12:30 asubuhi huko katika maeneo ya mtaa wa njiro ndogo kata ya sokoni one katika halimashauri ya jiji la Arusha watu wawili wasiofahamika majina wanaume wanaokadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 28 walifariki...
  20. JamiiForums Tanzania Kushikilia kadi za benki za Watumishi wa Umma kama dhamana wanapokopa ni kinyume cha Sheria

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Abdul Mtaka, ametoa agizo kwa taasisi zenye tabia ya kushikilia kadi za benki za watumishi wa Umma kama dhamana wanapokopa kuacha mara moja vitendo hivyo kwa kuwa ni kinyume cha Sheria. Agizo hilo amelitoa Wilayani Rorya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…