sheria za uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miswada miwili ya sheria za uchaguzi yatua bungeni

    Leo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; na Muswada wa Sheria ya...
  2. Hatuwezi kwenda Uchaguzi wa 2024 na 2025 bila marekebisho ya Sheria za Uchaguzi

    HATUWEZI KWENDA UCHAGUZI WA 2024 NA 2025 BILA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI Watawala wamekuja na mbinu ya medani wengi hawaijui katiba iliyopo, vyama vya siasa siyo wamiliki wa Katiba na ubora wa katiba siyo lazima haki ikatendeka. Hivi ni visingizio vya kukwepa kurekebisha mfumo wa...
  3. Kanuni na Sheria za Uchaguzi wa kumpata Rais wa Tanzania zibadilishwe

    Wanabodi habari za siku Nimekaa nikaangalia namna nchi yetu tunavyoendesha Chaguzi zetu hasa huu Uchaguzi mkuu, na zaidi hapo kwenye Urais. Urais ni level kubwa sana ya Kiutawala na Uongozi nchi hii na karibu nchi zote Duniani. Rais hatakiwi kupatikana kirahisi rahisi tu. Mchakato wa kumpata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…