sherehe ya harusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joshua Mbezi

    Kwahiyo ninyi Walokole mliona pombe ndiyo dhambi kubwa kuliko zote?

    Salamu kwa wanajukwaa wote. Jana nimepata mwaliko wa kuhudhuria sherehe ya send off. Nikajiandaa vizuri na kuwasili eneo la tukio. Shughuli ilianza vizuri na kila mgeni mualikwa alikuwa na uso wa bashasha. Wakati wa ufunguzi ulipowadia, MC alimkaribisha Mwinjilisti kwa ajili ya kufungua sherehe...
  2. ELI COHEN

    Usifanye sherehe ya harusi kama unataka ndoa yako idumu.

    Harusi kubwa inaweza kuunda mindset ya zile hadithi za 'forever and ever" na kuji mwambafy katika hadhi fulani hivi, na pia kukuza matarajio yasiyo ya kweli kuhusu ndoa. Wakati maisha ya kila siku hayalinaginishwi na ukuu wa sherehe yenu, ukakasi unaweza kuwatokea na kusababisha kutoridhikiana...
  3. tang'ana

    Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

    Merry Christmas everyone out there. Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana. Hapa chini ni conversation...
  4. Kipenzi Changu

    Afanya sherehe ya harusi bila Bibi Harusi, baada ya kikeni kuzingua dakika za jioni

    Katika hali isiyo ya kawaida katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Edward Futakamba Mkazi wa Kata ya Nsemulwa amewashangaza wengi baada ya kufanya sherehe ya harusi licha ya Bibi harusi kugoma kufunga ndoa hiyo. Edward aliyekuwa akiishi na Mwanamke aitwaye Marry na kufanikiwa kupata Mtoto wa...
Back
Top Bottom