sheikh

Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ‎ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu Zuberi jenga shule kubwa badala ya misikiti mikubwa

    Idadi ya wiaslamu wako kwenye vyuo vikuu, ofisi za umma na sehemu zote za utumishi ni ndogo sana kulinganisha na watu wa dini nyingine. Bila shaka pamoja na mambo mengine ya kihistoria, imani, ukabila, ukanda na kiuchumi lakini idadi ndogo ya watoto wa kiislamu kwenye vyuo vikuu ukilinganisha...
  2. JamiiForums Tanzania Darsa la Sheikh Abdallah Iddi Chaurembo miaka ya 1970

    DARSA LA TAFSIR YA QUR'AN LA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAREMBO MWEZI WA RAMADHANI MSIKITI WA MTORO MIAKA YA 1970 Hukaa nikaangalia nyuma na ''nostalgia'' yaani simanzi. Naangalia ujana wangu ulivyoondoka kama moshi na nawakumbuka masheikh wetu waliotangulia mbele ya haki. Nawaona kama jana vile...
  3. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh wa Mkoa wa Singida, Salum Mahami afariki dunia

    Msiba mkubwa wa kumpoteza Sheikh Salum Mahami akiongoza Mkoa wa Singida aliyetutoka leo Alhamisi Aprili 15, 2021 Tunatoa pole kwa wafiwa wote Bwana ametoa & Bwana ametwaa & Jina lake lihimidiwe Taarifa kwa mujibu wa Mufti Sheikh Aboubakar Zuberi Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha...
  4. JamiiForums Tanzania Masheikh wa uamsho ukweli ukoje?

    Kwanza kabisa hawa Masheikh wakati wanakamatwa Marais walikuwa ni Kikwete Muislam na Dkt. Shein muislam. Sasa hadi leo Marais ni Samia muislam na Dkt Hussein Mwinyi Muislam. Lakini kila siku tunasikia hawa Masheikh 'wanaonewa' Kwa kukaa rumande miaka mingi bila kesi yao kupelekwa mahakamani...
  5. JamiiForums Tanzania Utabiri wa Sheikh Yahya Hussein mwaka 2006 na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke

    Nimesoma hii article pale kwenya magazeti ya Shigongo, ikanishtua kwa vile inaoneka utabiri wake ulikuwa kweli kabisa. je ni coincidence tu au ni kweli alikuwa anajua kupiga mahesabu ya kuona mbele? Najua kuwa aliwahi kutabiri kuwa mtu yeyote atakayechukua formu kumpiga Kikwete mwaka 2010...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…