serikali kuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    KERO Serikali kuu mbona ipo kimya kuhusu pesa za kujikimu za watumishi, au wao ndo tatizo?

    Kwa mda mrefu watumishi wapya Halmashauri tofauti tofauti wamekuwa wakilalamika kutopewa pesa za kujikimu wengine zaidi ya miezi 6 hadi mwaka tangu kuajiriwa na wengine kupewa nusu ya malipo stahiki. Je tatizo ni mamlaka za Halmashauri au serikali kuu kupitia hazina, kwanini serikali kuu ipo...
  2. K

    Mwekezaji na Mbunge wamliza bibi ni kuhusu ghorofa lililopo Kariakoo, aomba Serikali Kuu imsaidie apate haki yake

    BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia. Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
  3. Tlaatlaah

    Ni nini hasa kiini cha chuki za viongozi wa TEC dhidi ya viongozi wa kiisilamu hasa wa Serikali Kuu?

    Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa...
  4. suhelmadyan

    PostGE2025 Je, hatuhitaji kurudisha utaratibu wa Rais kuhutubia Taifa kila Mwezi? Muunganiko Kati ya Serikali Kuu na Wananchi Umekatika

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia pengo linalozidi kupanuka kati ya Serikali Kuu na wananchi wa kawaida. Pengo hili halijatokea kwa bahati mbaya—limejengwa taratibu kutokana na kukosekana kwa majukwaa ya wazi ambayo yanamwezesha kiongozi mkuu wa nchi kuwasiliana moja kwa moja na watu...
  5. K

    Mali zote za CCM zitaifishwe na Serikali Kuu

    Mali zote ambazo ni za seikali wataifishe ziwe za serikali haraka sana na wafungue chama kingine
  6. Mhaya

    Sasa Hili Uende Bungeni Ni Lazima Upendekezwe Na Rais Na Si Wananchi, Bunge linaendeshwa na Serikali Kuu

    Tumeona mara kadhaa Rais akikataa Wabunge fulani fulani wasipitishwe, kauli maarufu ni hile ya msiniletee Magwajima. Wananchi hawana tena uamuzi kwa kuchagua kiongozi wanayemtaka zaidi ya mamlaka kupanga nani awe mbunge, serikali kuu inaingilia maamuzi ya muimili mwingine ambao ni bunge...
  7. Mindyou

    LGE2024 Tabora: Viongozi wa Serikali za Mitaa waomba Serikali Kuu kuwaongezea posho muda mchache baada ya kuapishwa!

    Wakuu, Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa. Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya kura zao watu mshaanza kudai kuongezewa posho? Hawa viongozi wanatokea chama gani?
  8. ichumu lya

    Sitashiriki chaguzi za serkali za mitaa wala serikali kuu mpaka KATIBA mpya yenye maoni yetu itakapothaminiwa.

    Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
  9. Tlaatlaah

    Asante sana Rais Samia kwa mabadiliko haya madogo ya uongozi katika Serikali Kuu, watanzania wote wamekupenda zaidi, wanakushukuru na kukuamini zaidi

    Rais Samia Suluhu Hassan, Rais na kipenzi cha waTanzania uongozini. Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia afya njema, bidii, ubunifu na nguvu tele katika kuongoza nchi yetu Tanzania.. Hamasa na ushawishi wako kwa vitendo baada ya kufanya mageuzi na mabadiliko kidogo katika uongozi wa Serikali yako...
Back
Top Bottom