sera ya kujitolea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Waziri Ummy Mwalimu tuondolee Sera ya Kujitolea kwa kada Afya

    Sijui Huyu Waziri Gwajima huwa ana akili gani! Unatumia Bilions of Money ili kuja na Sera yaSserikali ya Kujitolea kuwakandamiza Watanzania. Gwajima ni Mtu mbinafisi sana Gwajima ni mtu mmoja ambae ana uwezo wa chini sana sijui hata hiyo wizara mpya kama itasimama! Vijana wanasoma kwa tabu...
  2. GenuineMan

    Uchambuzi wa sera ya kujitolea katika sekta ya afya

    Utangulizi. Serikali kupitia wizara ya afya imezindua sera ya kujitolea katika sekta ya afya. Utaratibu huu utawahusu wahitimu wa ngazi mbalimbali (astashahada, stashada, shahada nk) na fani mbalimbali za afya kama vile madaktari, wauguzi, wafamasia, wataalamu wa maabara n.k. Watakaopata nafasi...
  3. C

    Rais Samia, anza na mambo haya kwa vijana. Tutakushukuru

    Na; Hamis Abeid Baruani 0769808725 Mama kwanza pole na hongera kwa majukumu ya kulitumikia Taifa letu tukufu la Tanzania, kama kijana wako wa Tanzania nina maoni yangu kadhaa ningependa kukupatia kuhusu kutusaidia sisi vijana wako, mengi mazuri yalisemwa na uliyasema pale Mwanza naomba nami...
Back
Top Bottom