sekta ya ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PendoLyimo

    Bunge lapitisha zaidi ya shilingi bilioni 164.1 sekta ya ardhi

    BUNGE LAPITISHA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 164.1 SEKTA YA ARDHI Bunge limepitisha na kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kiasi cha shilingi 164,146,052,000/= ili kuendelea kutambua, kupanga, kupima na kumilikisha ardhi kwa ajili ya matumizi mbalimbali nchini...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70

    Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini. Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi mkoani Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Sera...
  3. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi ataka uadilifu na kutenda haki kwa watumishi wa sekta ya ardhi

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuongeza uadilifu na kutenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao sambamba na kuongeza kasi katika utendaji kazi. Mhe. Ndejembi namesema, suala la ardhi ni gumu na linahitaji...
  4. BARD AI

    Makonda: Sekta ya Ardhi imejaa Dhulma, Unyang'anyi na Hati Feki

    #UWAJIBIKAJI: Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Paul Makonda amesema katika ziara zake alizofanya katika Mikoa 23 nchini, amebaini matatizo na kero kubwa zinazowakabili Wananchi ikiwemo Watu kudhulumiwa Ardhi na tatizo la Hati Batili. Amesema Ipo dhulma kubwa kwenye Sekta ya Ardhi, huko...
  5. M

    Rais Samia onesha pia Uchungu wako katika Sekta ya Ardhi kwani Wanyonge wanadhulumiwa mno

    Mheshimiwa Rais kama kuna Sekta ambayo kwa sasa inatajwa na Dhambi ya Kudhulumu Watanzania Wanyonge basi ni ya Ardhi. Na kama kuna Mkoa ambao unaongoza kwa Watanzania Wanyonge Kudhulumiwa Ardhi yao ni Mkoa wa Dar es Salaam. Na kama kuna Mkuu wa Mkoa ambaye anapewa Lawana ya Kutetea Wapora...
Back
Top Bottom