sekretarieti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Waliofanya usaili wa LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya Ajira 17/12/2025 walifeli wote?

    Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja. Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini kinaendelea?
  2. Ridhiwani Kikwete anataka Kutumia Sekretarieti ya Maadali kujisafisha?

    Niwaonye tu viongozi wetu wa Sekretarieti ya Maadali kwamba, msije mkaingia mkenge huo. Kila siku akikutana na ninyi lazima ajisemeshe na kulialia, tunataka ateme ndoano kabisa Sisi tunaokaa na huyo Kikwete na huyo Mwigulu tunajua mali zao ambazo hazijaandikwa kwenye makaratasi yenu. Wanataka...
  3. B

    Oral nterview ya Uhasibu Sekretarieti ya Ajira

    Wakuu habari Naomba muongozo kwa mwenye uzoefu na Oral interview nafasi ya Mhasibu Utumishi anipe uzoefu na namna ya kujiandaa natanguliza shukurani kwenu
  4. Ni wajumbe au ni vikao gani vya chama wa/vinaochagua viongozi wa sekretarieti kuu ya chama cha chadema?

    Hofu yangu ni huku kuondoka kwa baadhi ya viongozi wa mikoa, wilaya na hata wale wa kanda. Kama chama kitaamua kuitisha kikao kwa ajili ya kupitisha majina ya watu ambao watakuwa ndio wajumbe wa sekretarieti kuu ya chama, je akidi itatosha? Kama haitatosha, nini cha kufanya. Tutarudi kwenye...
  5. L

    Bado Wengine Wazito kutoka ndani ya Sekretarieti Ya CHADEMA Wataondoka. CHADEMA itabakia Kama Pagala.

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi nimejaliwa macho ya Kuona Mbali sana kabla ya jambo kutokea. Na wakati mwingine hutoa tahadhali Kwa muhusika au wahusika ili wachukue hatua. Niliwatahadhalisha sana CHADEMA,niliwasihi sana wana CHADEMA kuwa msithubutu hata siku moja wala kurogwa mkamchagua Lissu...
  6. Reginald Munisi awapa mkono wa kwaheri CHADEMA, baada ya utumishi wake wa miaka 10 katika Sekretarieti ya chama

    Tunaweza kusema kama Timu Mbowe wameanza kujichekecha kimtindo baada ya Lissu kuchukua nafasi hiyo ya uwenyekiti wa CHADEMA =================== Baada ya miaka 10 ya ajabu nikihudumu katika Sekretarieti ya chama cha CHADEMA, moyo wangu umejaa shukrani na furaha. Nimekuwa shahidi wa wenzangu...
  7. Sekretarieti ya Ajira acheni kuwawekea waomba ajira vigingi visivyo na sababu za msingi.

    Habari, Sekretarieti ya ajira mmeaminiwa kutangaza na kuendesha mchakato wa ajira kwa haki na usawa ili watanzania tuombe ajira za umma kupitia taasisi yenu. Mnapokuwa mnaweka vigezo ambavyo havina umuhimu mkubwa na kuzuia watu kufanya usaili ni kama kutuwekea vigingi tu tunaoomba hizo ajira...
  8. G

    Sekretarieti ya ajira: Kwa waombaji wote wa ualimu

    Happy mary Christmas to all Jobless teacher's waiting to be called for interview soon.
  9. M

    Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

    Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam . Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira . Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
  10. G

    Kwako Sekretarieti ya Ajira (Mwalimu )

    Mnachofanya sio poa mpaka tunene kwa lugha au? Au mpaka tupange mstari? Toeni mwafaka wa walimu sivyo mnasomewa kurjuani ya mzee magoma.
  11. Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma yawasilisha malalamiko kuhusu Prof. Eliamini M. Sedoyeka

    SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kutekeleza Sheria ya Maadili...
  12. Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
  13. Sekretarieti ya Ajira hii imekaaje?

    Wanajukwaa salaam! Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni baada ya kushuhudia vijana wengi wakikata tamaa na kujutia maamuzi yao ya kujiendeleza kielimu kwa kukosa haki za kuajiriwa serikalini. Kama tujuavyo, nafasi za kazi zote za serikali hutangazwa na huombwa kupitia mfumo wa sekretarieti ya...
  14. L

    Sekretarieti ya Ajira au Sekeseke la Ajira - Wanasiasa bhana!

    Yaani hadi Shirika la Posta limewagomea halitaki hii Taasisi iwatafutie wafanyakazi ujue siasa zimetawala. Toka aondoeke Daudi Xevier yaani hii Taasisi imekuwa ya kisiasa kabisa. Nimefuatilia kwa kina ajira wanapewa hata wale ambao hawakushiriki kabisa kwenye usaili - sababu ni eti ni mtoto wa...
  15. Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

    Kwa furaha kubwa kabisa napenda kuwataarifu wana JF kuwa kwa tukio litakalotokea leo tarehe 24/07/2023, mjadala wa Dp world ndio unafika mwisho, tujipongeze wote tulioshiriki. Ahsanteni sana. ========== Mdau mwingine pia aliandika: =====
  16. Maombi ya Rais Samia Yajibiwa, Tanzania Yachaguliwa Kuwa Makao Makao Sekretarieti ya Baraza la Michezo Afrika Kanda ya IV

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana anayofuraha kuwajulisha Watanzania kuwa kikao cha Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya IV Nazi ya Mawaziri kimeichagua Tanzania kuwa Mako Makuu ya Sekretarieti ya Baraza hilo. Aidha, wajumbe wa mkutano wameazimia...
  17. M

    Kero ya kuripoti kazini baada ya kupangiwa ajira na sekretarieti ya ajira, halafu unaambiwa urudi nyumbani mpaka upigiwe simu kuitwa!

    Inawezekanaje watu wapange utaratibu ambao siyo rafiki kwa waajiriwa wapya? Iko hivi: Ukipangiwa ajira na sekretarieti ya ajira kwa maana ya kufaulu usaili, unapewa barua ya kuripoti kazini ndani ya siku 14 vinginevyo nafasi yako atapewa mwingine! Hii inamfanya mwajiriwa atafute nauli hata kwa...
  18. T

    Maboresho katika sekretarieti ya ajira: Kwanini mtu wa 'degree' asiruhusiwe kuomba kazi za wenye 'diploma'?

    Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi. Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu...
  19. ACT Wazalendo na Sekretarieti yake hawajui walifanyalo

    ACT wanaishi katika mkumbo mkubwa sana na wala hawatafika popote kwa maana hawana dila za mbele badala yake wanaangalia nyuma. Kitendo cha ACT Wazalendo kumruhusu kiongozi wake kupambana na marehemu kwenye ziara zake za mikoa minne kwa kisingizio cha kuing'oa CCM hakiwezi kufanikiwa. Hakuna...
  20. Nukuu za Viongozi wa Sekretarieti ya CCM mkoani Tanga

    NUKUU ZA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA CCM HANDENI MKOANI TANGA. Baadhi ya #NUKUU Hotuba ya Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia E. Mjema na Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndg. Issa Haji Ussi (GAVU) wakati wakizungumza kwenye ukaguzi wa Jengo la huduma za Mama na Mtoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…