Wale tuliofurahishwa na maamuzi ya Secretary Pompeo naomba tumfollow Twitter, tuvamie Twitter page yake na following za kutosha.
Kama ilivyo kwa watu wa mpira walivyofollow aston villa hadi wazungu wakajua tulivyofurahishwa na usajili wa Samatta kule kwao basi tumfollow Pompeo hadi ajue...