samuel wangwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Profesa Wangwe: Afrika iongeze thamani ya rasilimali zake

    Profesa wa Uchumi, Samuel Wangwe, amesema nchi za Afrika zinapaswa kuweka kipaumbele katika kuongeza thamani ya rasilimali zake ili kunufaika ipasavyo na utajiri uliopo barani humo. Amesema miongoni mwa njia muhimu ni kuwekeza kwa vijana kwa kuwapeleka kujifunza katika mataifa yaliyopiga hatua...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Wangwe: Polisi nao wachunguzwe kutokana na kuhusishwa na vitendo vya mauaji

    Mtaalamu wa uchumi, Prof. Samuel Wangwe, amesema Tume ya Rais ya kuchunguza chanzo cha machafuko ya Oktoba 29, 2025 inapaswa kuangalia pande zote, ikiwemo Jeshi la Polisi, kutokana na tetesi kwamba nao walihusika katika vitendo visivyo vya kiungwana. Akizungumza kwenye kipindi cha Mizani...
Back
Top Bottom